Nafasi 33 za Walimu Daraja la III B, Somo la Useremala

Nafasi 33 za Walimu Daraja la III B, Somo la Useremala
Nafasi 33 za Walimu Daraja la III B, Somo la Useremala
POST MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY)(RE-ADVERTISED) – 33 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;
- Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;
- Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;
- Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na
- Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la “Carpentry and Joinery” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION TGTS-C
CLICK HERE TO APPLY
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Nafasi 33 za Walimu Daraja la III B, Somo la Useremala