NAFASI 400 Za Kazi Agents Support

NAFASI 400 Za Kazi Agents Support
NAFASI 400 Za Kazi Agents Support
✅Account Opening (Freelancers) – Nafasi 400.
Kampuni ya Agents Support imetangaza nafasi za Ajira kwa Vijana wenye nia, ari na sifa stahiki kuomba nafasi 400 za Account Opening (Kufungua Accounts za Azania Bank.)
SIFA NA VIGEZO VYA WAOMBAJI
- Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo
- Awe na namba ya NIDA au Kitambulisho cha Mpiga Kura.
- Awe na simu janja (smartphone)
- Awe mchapakazi na hodari
MAENEO YA KAZI (LOCATION): Shinyanga, Mara, Kahama na Geita.
Tuma CV yako Kwa email: jobs@nad.co.tz au hr@nad.co.tz
KWA MAWASILIANO TUPIGIE: 255758852706
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Naomba niwe miongoni mwa mfanyakazi wapya katika ofisi zenu