NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

Filed in Ajira by on April 16, 2025 9 Comments
     
NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Benjamin Mkapa Foundation Kupitia Ushirikiano na Kampuni yake Tanzu ya Imara Horizon, inatafuta Madereva 400 kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat.

Faida:
✅Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu.
✅Mafunzo ya kitaalamu ya udereva
✅Malazi, matibabu na bima ya maisha zitatolewa.

MUHIMU: Uombaji wa nafasi hizi hauhitaji malipo yoyote.

Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako kwa kazi ya kimataifa!

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 30 Aprili 2025.

Ajira 400 Mpya Za Madereva wa Mabasi na Malori Makubwa Kutoka Benjamin Mkapa Foundation

NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

NAFASI 400 Za Madereva Benjamin Mkapa Foundation

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (9)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Yusuph says:

    Kwamajina naitwa yusuph mathias ni mkazi wa chato mkowa wa geita naoma kazi ya uderevq nina uzoefu zaidi ya nyaka 20 aina yote ya magali pia nifndi

  2. Yusuph says:

    Nina mafnzo yote naombakazi ya udereva mmi yusuph

  3. Yusuph says:

    Mmi yusuph ninaomba kazi ya udereva niko mkowa wa geita wilaya chato nidereva nina uzoef zaidi nyaka 20 naomba kazi

  4. Yusuph says:

    Yusuphmathismathias@gmail.com nidereva muzoevu naomba kazi Niko mkoa wa geita wilaya chato 0682767371

  5. Yusuph says:

    Mmi yusuph mathias nina omba kazi ya udereva mmi ni dereva mzoefu

  6. Yusuph says:

    Mmi yusuph mathias nina omba kazi ya udereva mmi ni dereva mzoefu magari aina zot2

  7. SHAMTE YUSUF says:

    Naomba kazi ya udereva nina uzoefu wa miaka 6 barabarani namba yangu 0623578899

  8. Samwel lissu says:

    naomba ajira ya udereva kutokana na uzoefu wangu wa miaka mingi katika kazi hii

    • christopher felician says:

      Christopher feliciani saliboko
      April 16,2025at11:37pm

      YAH:MAOMBI YA KAZI ZA UDEREVA BENJAMIN MKAPA FOUNDATION.

      Husika na kichwa cha habari hapo juu.
      Mimi ni christopher feliciani saliboko.kijana mwenye uzoefu katika kazi hii ya udereva miaka kumi.na nipo makini sana na kujiamini katika kazi yangu kwa kufuata Sheria zote za barabarani.
      Natumaini ombi langu litashughulikiwa.kwako katika ujenzi wa Taifa.
      C.f.saliboko.
      Christopher feliciani saliboko.
      Namba ya simu:0654717117

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *