NAFASI 50 Za Kazi Chiloha Executive Bus

NAFASI 50 Za Kazi Chiloha Executive Bus
NAFASI 50 Za Kazi Chiloha Executive Bus
Chiloha Executive Bus inawatangazia Watanzania wote nafasi 50 nafasi za Ajira za Bus hostess (Muhudumu wa ndani), wakatisha Tiketi wa ofisini, na Makarani wa Mizigo (storekeeper).
Sifa za Jumla
- Elimu kuanzia Kidato cha nne kuendelea.
- Muonekano Mzuri kwa Bus hostess.
- Uzoefu usiopungua mwaka mmoja.
Maombi yote yatumwe kwa Email
Muombaji atume Barua na Cv yake Manager
Chiloha Executive Bus
P.O.BOX 2098
Dodoma
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya mkono hayatafanyiwa kazi, Mchakato wa ajira hauta husisha utoaji wa pesa atakaye bainika atahusishwa na Rushwa.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 29 April 2025.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Manager chiloha excacutive bus
P.O.BOX 2098
DODOMA
Naweza kupata email ya kutuma maombi ya kazi??Kwenye tangazo la kazi haijawekwa
Habari za uzima mm naitwa Hansi mdee Nina miaka 29 elimu yangu F4 ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja na nusu nikifanikiwa kupata kazi kwenye company yh Ako natafanya kazi kwa weledi na ushirikiani na wafanyakazi wezangu kwa heshima na tahadhima Asante
Habari za uzima mm naitwa Hansi mdee Nina miaka 29 elimu yangu F4 ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja na nusu nikifanikiwa kupata kazi kwenye company yh Ako natafanya kazi kwa weledi na ushirikiani na wafanyakazi wezangu kwa heshima na tahadhima Asante
Asalam aleykum meneja na wasimamizi wote wa kampuni ya chiloha kwa majina naitwa Hansi mdee ni kijana mwenye umri wa miaka 29 elimu yangu ni f4 kazi yangu ni kuhudumia abiaria ndani ya basi ninauzoefu wa mwaka mmoja na nusu nilikuwa naomba nafasi ya kazi je cv natuma kwa njia gani Asante
Mariselina luvanga ninaomba nafasi ya kazi ya kukatisha tiketi ofisini ninaishi gongolamboto mushbah
Naomba email ya chilova bus
NAOMBA EMAIL YA CHILOHA BUS
Ivon Twaha Muze naomba kazi katika kampuni yenu ya chiloha executive bus naomba kazi ya ukatishaji ticket na waaid kua nitafany kaz kwa bidii na uaminifu pia
Namatumain nitapat kazi katika kampuni yenu ya chiloha executive bus
Shafi selemani juma Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 naomba kazi kwenye shirika lenu la chiloha executive bus nimesome ukatishaji tiketi za ndege pamoja na mabasi natumia maombi yangu yatapokelewa Asante wako mtiifu
Mimi Ivon Twaha Muze naomba kazi katika kampuni yenu ya chiloh executive bus naomba kazi ya ukatishaji wa tickets za bus niahid nitafanya kwa uaminifu,juhud na nidhamu ya hali ya juu
P.O.BOX 2098 DODOMA
Natumain nitapat kazi katika kampuni yenu ya Chiloh Executive Bus.
shafi selemani juma
P.O.BOX.2098
Dodoma.
0684804554
11.04.2025
MANAGER CHILOHA EXECUTIVE BUS
P.O.BOX 2098
Dodoma
YAH:MAOMBI YA NAFASI YA KAZI CHILOHA.
EXECUTIVE BUS
Mimi ni kijana wakitanzania mwenye umri wa miaka 20 naomba kazi kwenye shirika lenu la usafirishaji la chiloha executive bus ninauzoefu wa kukatisha tiketi natumia maombi yangu yatapokelewa
Wako mtiifu
ahasante
S.s.juma
CURRICULUM VITAE
PERSON DETAILS
JUMA
SELEMANI
JUMA
SEX:MEN
NATIONALITY: TANZANIA
DATE OF BIRTH:15.05.2004
MARITAL STATUS: SINGLE
EMAIL: shafiseleman3@gmail.com
MOBILE NUMBER:0684804554
LANGUAGE: Swahili and English
EDUCATION PROFILE
FURAHIKA EDUCATION COLLEGE: CERTIFICATE OF AIR
TICKETING SECONDARY SCHOOL
MASANGE SECONDARY EDUCATION: CERTIFICATE.
SECONDARY EDUCATION (CSEE)
KWAYONDU PRIMARY SCHOOL: CERTIFICATE OF
PRIMARY EDUCATION
PERSONAL PROFILE
.well experience in air ticketing issues
. well experience in tourism issues and cultural heritage conservative and managing
.am pleasant personality, energetion, proactive independent and self motivated
. computer literate and computer maintenance
EMPLOYMENT AND WORK EXPERIENCE
Air Tanzania dodoma airport such as booking ticketing sending parcel and marketing materials.
Dickson Mshangi
P.o.Box 256
Dodoma 0678370182
13/4/2025
Manager chihola Executive
P.o.Box 2098
Dodoma
Yah: OMBI LA KAZI
Husika kichwa cha habari hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nna elim ya kidato cha nne, ninaomba kazi kwenye kampuni yako ya mabas nitafanya kazi kwa usafi na uaminifu
Wako katika ujenzi wa taifa
Asante
D.Majura
CURRICULUM VITAE
PERSONAL DITAE
Dickson
Mshangi
Majura
Sex Men
National Tanzania
Education Form four
Email dicksonmshangi@gmail.com
Mobile phone 0678370182
Language Swahili
EDUCATION
I have form four education from musoma mara and garage from dodoma veta.
SAMWELI BEZA MTIHANI
P. O . BOX 9540
DAR ES SALAAM
17-04-2025.
MANAGER CHILOHA EXECUTIVE BUS
P.O.BOX 2098
DODOMA
17-04-2025.
Yah:MAOMBI YA KAZI CHILOHA EXECUTIVE BUS
Husika na kichwa Cha habari hapo juu
Naitwa samweli beza mtihani Nina umri wa miaka 22 Naomba kazi kwenye kampuni ya chiloha bus Nina. Uzoefu wa kazi iyo elimu yangu ni kidato Cha nne pia ni fundi wa umeme wa magari nimesoma veta miaka miwili level ni NVA VC2 natumaini maombi yangu yatapewa mtazamo chanya
Wako mtiifu.
S.B.mtihani
SAMWELI BEZA MTIHANI
0621908187
CURRICULUM VITAE
Person details.
SAMWELI
BEZA
MTIHANI
Sex. Men
Nationality. TANZANIAN
Date of birth. 03-11-2002
Mobile No. 0621908187
Language. SWAHILI AND ENGLISH
EDUCATION PROFILE
Airwing vocational training collage. CERTIFICATE OF AUTO ELECTRICAL.
Lilasia secondary school. CERTIFICATE OF SECONDARY (CSEE)
Juhudi primary school. CERTIFICATE OF PRIMARY SCHOOL
WORKING EXPERIENCE
I Have experience.
Bos naomba kaz kwenyekampuni yako ya bus mi nimachenics naweza kaz vizur San nilkua nakumba unisaidie nipate kaz kwenye kamuouni yako namba yangu 0757299760
Habari Mr/Mrs. Naitwa Yoel Nyoni napatikana kikuyu”dodoma”. Nafasi 50 ni nyingi sana naamini mimi ni mmojawapo kwakuwa ninauzoefu wa kazi za usafirishaji hasa abiria. Nipo tayari kufanya kazi kwenye kitengo chochote ilimradi niwe mtumishi wa kampuni yenu. Mawasiliano;0623150013. Asante.
Shaban omari hemed nna miaka 22 elimu fom4 bahat mbsya nikaferi nilikuwa naomba kazi ya ukondakta au ushushaj mizigo tukiw safarin nikikosa ata uhudumu nilikuwa naomba mniajiri kweny kampuni yenu manager namba 0754594053