NAFASI 800 Za Madereva Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu

NAFASI 800 za Madereva Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
NAFASI 800 za Madereva Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa Kushirikiana na kampuni tanzu ya Mkapa Foundation Imara Horizon, “Con- nect General Supplies Co. Ltd”, “Sassy Solutions Co. Ltd” pamoja na “Larali Global Solutions” inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 800 za fursa za Udereva zilizotangazwa na kampuni ya MOWASALAT ya nchini Qatar kama ilivyoelezwa hapa chini.
Waombaji wanapaswa kuwa na Umri Kuanzia Miaka 25-45.
Aina ya Ajira: Mkataba
Daraja la Leseni: Daraja C au E
SIFA MWOMBAJI
- Awe na elimu ya kidato cha Nne na kuendelea.
- Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika fani ya Udereva.
- Awe na uwezo wa kuzungumza lugha ya Kingereza.
- Mwenye uelewa na lugha ya kiarabu atapewa kipaumbele.
MAMBO MUHIMU
- Mshahara utalipwa kulingana na Sera ya kampuni pamoja na sheria za nchi ya Qatar.
- Gharama za matibabu kwa kipindi chote cha ajira zitakuwa juu ya muajiri.
- Mwajiri atagharamia viza na tiketi ya ndege.
- Mwajiri atagharamia malazi na chakula katika kipindi chote cha ajira.
Kutuma Maombi bofya link hizi: https://mkapafoundation.or.tz/index.php/international-career/
Simu Na. +255749639354,+255678203223,
https://www.manpower.cgs.co.tz
Simu Na. +255748882255,+255675899410
Sasysolution@gmail.com
Simu Na +255782821089/+255710882820
info@cgs.co.tz
info@larali.co.tz;
Simu Na. +255694521912
Baada ya kutuma maombi unapaswa kujisajiri hapa: https://jobs.kazi.go.tz
Simu Na. +255784301987
Mwisho wa Kupokea ni Maombi tarehe 16 Mei, 2025.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Ajira na Wenye Ulemavu, NAFASI 800 za Madereva Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana
Thanks about this
Truck driver, Harrison Richard Timotheo leave at Mwanza 41 year’s experience in fuel and container logistics
Driver