NAFASI Za Kazi AB InBev/TBL

Filed in Ajira by on May 8, 2025 4 Comments
     
NAFASI Za Kazi AB InBev/TBL

NAFASI Za Kazi AB InBev/TBL

NAFASI Za Kazi AB InBev/TBL

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tanzania Breweries Limited ni mwanachama wa AB InBev Group, kampuni kubwa ya bia Duniani.

Tanzania Breweries inaendesha viwanda vya kutengeneza bia Katika Majiji ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, na Mbeya.

Tanzania Breweries Limited Ni kampuni kongwe nchini Tanzania, mtengenezaji mkubwa zaidi, na mwajiri mkuu.

AB InBev ni mtengenezaji wa pombe Duniani kote, Chapa zake nyingi zimekuwepo kwa mamia ya miaka.

Baadhi ya chapa zake ni pamoja na Beck’s, Budweiser, Corona, Hoegaarden, Leffe, na Stella Artois.

Kampuni hiyo inawaalika watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoainishwa kwenye Tangazo hapa chini;

Ajira Mpya Kutoka AB InBev/TBL Serengeti Breweries (SBL)

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (4)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Nimependa naomba kazi

  2. Yusufu says:

    Naomb kazi

  3. Rachael ugwu says:

    Please I need this loan

  4. Rachael ugwu says:

    Thank you for the opportunity

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *