NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania Limited
NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania Limited
Absa Bank Tanzania Limited ambayo zamani ilikuwa Barclays Bank Tanzania Limited, ni benki ya biashara nchini Tanzania na kampuni tanzu ya Absa Group Limited yenye makao yake Afrika Kusini.
Makao makuu na tawi kuu la Benki ya Barclays Tanzania Limited yako katika Barclays House, kando ya Mtaa wa Ohio, katika jiji la Dar es Salaam , mji mkuu wa kifedha na jiji kubwa zaidi la Tanzania.
Benki hiyo inawaalika watu wenye nia, ari na sifa stahiki Kuomba nafasi za Ajira zilizotangazwa hapa chini;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
