NAFASI Za Kazi Airswift Consulting Tanzania

Filed in Ajira by on April 1, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Kazi Airswift Consulting Tanzania

NAFASI Za Kazi Airswift Consulting Tanzania

NAFASI Za Kazi Airswift Consulting Tanzania.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Airswift Consulting Tanzania inaunga mkono Mradi unaoendelea wa EACOP. Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki ni miundombinu ya usafirishaji wa mafuta ghafi yenye urefu wa kilomita 1,443 ambayo itasafirisha mafuta ghafi ya Uganda kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda hadi kwenye peninsula ya Chongoleani karibu na Tanga nchini Tanzania kwa ajili ya kusafirisha katika soko la kimataifa.

Mradi huo umetangaza nafasi 6 Mbalimbali Kwa Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza zilizoanishwa hapa chini.

Ajira 9 Airswift Consulting Tanzania – Mradi wa Bomba la Mafuta.

  1. Production Manager
  2. Training Coordinator
  3. Operations Logistics Coordinator
  4. Lead Process and Flow Assurance
  5. Reporting/Mass Balance Engineer
  6. EIT Superintendent
  7. Liaison Medical Officer
  8. Graduate Engineer Trainee – Metallurgy
  9. Completion Engineer
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *