NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

Filed in Ajira by on May 14, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Hospitali ya Alexia ni kituo kilichosajiliwa chini ya Sheria ya Bodi ya Ushauri ya Hospitali za kibinafsi (PHAB) na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, usajili Na. 073359.

Hospitali ya Alexia ilianzishwa Aprili 2014 kama Zahanati ya Alexia, Mwaka 2016 kilipandishwa hadhi na kuwa kituo cha afya na mwaka 2021 kilipandishwa hadhi na kuwa hospitali ya ngazi ya wilaya.

Hospitali ya Alexia ina vifaa vya kisasa na teknolojia ambayo inaruhusu utoaji wa huduma bora za afya kwa wagonjwa.

Hospitali ya Alexia inatoa matibabu kulingana na Miongozo ya Tiba ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (STG) na Orodha ya Kitaifa ya Dawa Muhimu kwa Tanzania.

Hospital hiyo inatafuta watu, wenye nia ari na sifa stahiki kujaza nafasi 7 zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *