NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council

NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council
NAFASI Za Kazi Danish Refugee Council
Shirika la Danish Refugee Council (DRC) lililoanzishwa mwaka wa 1956 ni shirika la kibinadamu, lisilo la kiserikali linalotoa usaidizi, kulinda, kutetea na kujenga mustakabali endelevu kwaajili ya wakimbizi na watu wengine walioathiriwa na kuhama kwao.
DRC imekuwa ikitekeleza miradi ya dharura nchini Tanzania tangu kuanza kwa mgogoro wa wakimbizi wa Burundi mwaka 2015 katika kambi tatu za wakimbizi zilizopo Mkoa wa Kigoma kwenye mpaka na Burundi.
Miradi iliyounganishwa ya DRC kwaajili ya wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na jumuiya zinazowakaribisha inajumuisha sekta kama vile Uratibu wa Kambi na Usimamizi wa Kambi (CCCM), Ulinzi (CBP, PSN, GBV, CP na Kisheria), Makao na miundombinu, na Ufufuaji Kiuchumi.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza Nafasi zilizoanishwa Katika Tangazo hili hapa chini.
- Monitoring, Evaluation, Accountability, Learning (MEAL) Team Leader
- Child Protection Team Leader
- Grants Management Specialist
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
