NAFASI Za Kazi DART, Mofat Tanzania

Filed in Ajira by on June 19, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Kazi DART, Mofat Tanzania

NAFASI Za Kazi DART, Mofat Tanzania

NAFASI Za Kazi DART, Mofat Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake.

Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa Jiji la Dar es Salaam.

Wakala anakusudia kufikia malengo yafuatayo:

  • Kuanzisha na kuendesha mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka kwaajili ya Dar es Salaam, yatakayotumia jina la DART
  • Kuhakikisha mtiririko bora wa usafiri kwenye mitaa na barabara za mjini na
  • Kuhakikisha usimamizi wa wakala wenye ufanisi.

DART inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali kama zilizoanishwa katika Tangazo hili.

Kuona Vigezo na Sifa Pamoja na jinsi ya Kutuma Maombi Bonyeza hapa chini.

Ajira Mpya Kutoka DART, Mofat Tanzania.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags: ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *