NAFASI Za Kazi EACOP – Bomba la Mafuta Ghafi

NAFASI Za Kazi EACOP – Bomba la Mafuta Ghafi
NAFASI Za Kazi EACOP, Ajira Mpya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki.
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ni bomba litakalosafirisha mafuta yanayozalishwa kutoka maeneo ya Ziwa Albert nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania ambapo mafuta hayo yatauzwa katika masoko ya Dunia.
Bomba hilo limezikwa na udongo wa juu na uoto ukishawekwa tena watu na wanyama wataweza kuvuka kwa uhuru popote kwa urefu wake.
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), pia linajulikana kama Bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania (UTCOP).
Mradi huo unatangaza nafasi Mbalimbali za Ajira Kwa Watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kama zilivyoainishwa hapa chini.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Ajira Mpya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki, NAFASI Za Kazi EACOP
Natamani Sana kufanya kazi kwenye mradi huu naombeni mniajiri Mimi ni fundi wa kuchomelea Nina uzoefu wa miaka 15 vipimo vyote vinavyo husika na chuma najua vyeti ninavyo kukagua najua nimesha wahi kufanya hiyo kazi hata kupiga rangi najua yangu nihayo tu
Naitwa mrisho naomba kazi ya udereva ninauzoefu wa miaka 8 katika udeleva na cheti ninacho
Hizi nafasi ziko sehemu gani?
TANZANIA-TANGA. PIA UGANDA
Nina itwa yusuph mathias ninauzoef wa kazi ya udeleva nina uzoef 15 nina omba kazi
Naitwa yusuph niko chato naomba kazi ya udereva kwenye muladi wa bomba nina uzoefu
Naomba kazi ninauzoefu wakufanya kazi hiyo Kwa miaka miwili
Naomba kazi ya ufundi bomba
Mimi ni fundi uashi naomba kazi katika mradi huu nipo Dsm nina uzoefu kwa miaka 13
Naitwa tuheri naomba nafasi ya customer care ninauzoefu wa miak titano naomben mniajir.nitafany vizur san
Naitwa madracka mele nipo chalinze natafuta kazi ya ufund mechanic nauzoefu wa miaka 10
Naomba kazi ya mechanics nimesoma veta singida miaka 3 level 3 pmoj na experience ya miaka mitatu kweny fundi naombe kazi
Naombeni kazi experience miak 3 in mechanics , veta singida level 3
Naitwa fanuel sadock Jacob nina umri wa miaka 30 sasa,ninaomba nafasi ya kazi maana ninauzoefu wa kazi na nimesomea WDMI na pia vyeti ninavyo.Ahsanteni sana
Nitashukuru sana ombi langu likikubaliwa na kufanyiwa kazi.
Wenu katika ujenzi wa Taifa f.jacob ,
0782868122
Naitwa David s mpuka
Mimi ni dereva dampa pia ni oparater alf ni formen
Nina uzoefu wa miaka zaid ya saba kiutendaji na uwongozi
Naitwa tendi budeba ,naozoefu wa kufanya kazi hyo mwaka mmoja
Naitwa tendi emmanuel nauzoefu wa kufanya kazi mwaka mmoja katika mradi huu
I need a job to your company
Niliwahi kufanya kazi katka kiwanda Cha nishati ya gesi LPG nikiwa Kama mzalishaji kwa kusindika gesi kwenye mitungi ya kupikia pamoja na kuweka gesi kwenye matangi makubwa yenye ujazo wa gesi zaidi ya tani ushirini
Kwa uzoefu nilionao naamini naweza kufanya kazi vyema katika mradi wa mafuta ghafi
Kutoka Zanzibar , Mimi Ni KOMBO HAJi
Naitwa daud eugen daud mkazi wa dar essalaam natafuta kazi ya udereva Nina uzoefu wa miaka 12 namba yangu ya sim 0676518353
Naitwa daud Eugen Mimi ninaumri wa miaka 37 ni dereva Nina uzoefu wa miaka 12
Namba yangu ya sim 0676 518353