NAFASI Za Kazi GSM Group Tanzania

Filed in Ajira by on April 22, 2025 28 Comments
     
NAFASI Za Kazi GSM Group

NAFASI Za Kazi GSM Group

NAFASI Za Kazi GSM Group Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

GSM Group Tanzania ni Kampuni ya Kitanzania inayoendeshwa na ubunifu wenye mgawanyiko wa biashara, usafirishaji, rejareja na mali ofisi, inayofanya kazi kote Afrika Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika, ukilenga kutoa bidhaa na huduma bora na kuunganisha biashara kwenye soko la Afrika.

GSM Group inafanya kazi katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na biashara, viwanda, vifaa, rejareja na mali isiyohamishika.

GSM Group, kupitia GSM Foundation, imeshirikiana na CCBRT na Young Africans SC katika kampeni ya #MuwezesheAtembee kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu ya kubadilisha maisha ya watoto.

GSM Group inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi za Ajira zilizoanishwa hapa chini;

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Comments (28)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Hello sir/madam I would like to work with your company thanks

  2. Your comments is awaiting moderation

  3. Habari,nahitaji kazi katika kampuni yako

  4. I need to work in your company

  5. Hi:I need to work with you

  6. RAHIMU JUMANNE JONGO says:

    Mm ni Rahim jumanne JONGO naomba nafasi ya kz aaana mtaan gumu Toka nimalize xhule ya secondary naomben nafasi ya kz….Naimnmungu atanisaidia..

  7. Festo Leonard shoo says:

    My name is festo Leonard i need job

  8. James ryoba says:

    My name JAMES RYOBA have education of the shipping and logistics management I can handle these works associate with transportation of goods an material handling.My hobby is to work with GSM COMPANY plz let go achieve the goals of the company for together

  9. Hamis Mwangosi says:

    I need job is drive

  10. Faidhi shabani says:

    Naitwa faidhi kutoka dar es salaam naomba kazi ya udereva

  11. Nasra Juma Mbuguni says:

    Hello sir/madam I would like to work with your company thanks

  12. Nasra Juma Mbuguni says:

    Hello sir/madam I would like to work with your company thanks
    Any job b’couse honest and loyal and hardworking.
    Thank you.

  13. Nasra Juma Mbuguni says:

    Hello sir/madam I would like to work with your company thanks
    Any job b’couse honest and loyal and hardworking.
    Thank you.

    Reply

  14. Naitwa King styve naishi Buguruni,ni kijana wenye miaka 33 naitaji kazi

  15. Suzana lazaro says:

    Habari kiongozi naomba kazi katka kampuni yako

  16. Suzana lazaro says:

    Mimi Suzana Lazaro Habari kiongozi naomba kazi katka kampuni yako Mimi nipo Dodoma .

  17. MICHAEL ELIMINATUS MASSAWE says:

    I NEED A JOB ON POST OF SALES , I HAVE DIPLOMA EDUCATION FROM TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY. DIPLOMA IN PROCUREMENT AND LOGISTICS MANAGEMENT.

  18. Naitwa Leone Paul Mero naomba nafasi ya udereva katika kampuni yenu pia ninauzoefu wa kundesha magari ya ain yote pia nitatoa ushirikiano mzuri katika kampuni yenu, Natumain ombi langu litapokelewa.
    Kwako katika ujenzi wa taifa
    No.0623695549/0789285543
    Leone Paul Mero

  19. Joshua timotheo shija says:

    Naitwa Joshua timotheo shija, natokea dar es salaam nilikuwa naomba kazi kwenye kampuni yako.

  20. HABARI NAITWA REHEMA MOHAMED AMLIMA.NAOMBA NAFASI YA ULINZI KATIKA KAMPUNI YENU.NATUMAI OMBI LANGU LITAFANYIWA KAZI.AHSANTE

  21. Naitwa madracka mele nipo chalinze natafuta kazi Mimi ni dereva nani fund mechanic kazi yoyote nafanya

  22. Joshua timotheo shija says:

    Mimi ninaomba kazi katika kampuni yenu

  23. Jeremia Kaseja says:

    Naitaji kufanya kazi kwenye kampun gsm

  24. Jeremia Kaseja says:

    Naitw jeremiah kasej nipo mkoani geita nina umri miaka 21 Naomba kupapewa kazi katika kampuni ya gsm

  25. Jeremia Kaseja says:

    Naitw jeremiah kasej nipo mkoani geita nina umri miaka 21 Naomba kupewa kazi katika kampuni ya gsm ningependa kujua vitengo vya kazi

  26. LUCIEN LYANGWA says:

    I NEED A JOB ON POSITION OF ICT I HAVE BACHELOR DEGREE FROM INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT IFM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *