NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited

NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited
NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited
Uongozi wa Kiwanda Cha Sukari Kagera Unapenda Kuwatangazia Wafanyakazi wote Kuwa Kuna Nafasi Sita (6) za Wasaidizi wa Mafundi Umeme (Assistant Electrician) Katika Idara ya Furutia (Factory).
Sifa Za Mwombaji;
- Awe na Elimu ya Kidato Cha Nne.
- Awe na Elimu ya Fani ya Umeme Kutoka VETA.
- Awe na Uzoefu Usiopungua Mwaka Mmoja au Zaidi.
- Awe Na Akili Timamu.
- Awe Raia Wa Tanzania.
Waombaji Wote Waambatanishe Vitu Vifuatavyo;
- Nakala ya Cheti Cha Kidato Cha Nne.
- Nakala ya Cheti Cha Level II in Electrical Installation Kutoka VETA.
- Nakala ya Cheti Cha Kuzaliwa.
- Nakala ya Cheti Cha Mlipa Kodi (TIN Namba).
- Nakala ya Kitambulisho Cha NIDA/namba ya NIDA.
Maombi yote yatumwe na Kuambatanishwa na Vivuli vya Nakala za Vyeti Vya Elimu Uliyonayo, Wasilisha Maombi yako Kwenye Barua Pepe ya:
recruitment@kagera-sugar.co.tz
Mwisho wa Maombi ni tarehe 19/04/2025
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Kufanya kazi ya ufundi umeme
Kufanya kazi za ufundi umeme wa viwandani