NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited

Filed in Ajira by on June 4, 2025 1 Comment
     
NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited

NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited

NAFASI Za Kazi Mbeya Cement Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mbeya Cement Company Limited (MCCL), inajulikana kama Tembo Cement, nimtengenezaji wa saruji kutoka Tanzania mwenye kiwanda kilichounganishwa kikamilifu katika Mkoa wa Mbeya.

Mbeya Cement Company Limited imekuwa ikifanya kazi kwa zaidi ya miaka 40, awali ikimilikiwa na serikali ya Tanzania, na baadaye kubinafsishwa na kununuliwa na Lafarge kabla ya kununuliwa na Amsons Group.

Kampuni hiyo inazalisha klinka, saruji na vifaa vingine vya ujenzi, vyenye uwezo wa kuzalisha takriban tani milioni 1.1 kwa mwaka.

Mbeya Cement ilianzishwa mwaka 1973 na serikali ya Tanzania, akabinafsishwa mwaka 1999 na baadaye kununuliwa na kampuni ya Lafarge mwaka 2001, Kwa sasa, Pan African Cement Limited (Amsons Group) ina hisa 65%, huku NSSF ikimiliki 10% na serikali ya Tanzania ikimiliki 25%.

Mbeya Cement inatafuta watu wenye nia ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Lusa says:

    Asante kwa post nzuri.
    Waombaji usisite kupitia tovuti hii pia inapost nzuri za kazi

    ajira.lusaelimu.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *