NAFASI Za Kazi Médecins du Monde

NAFASI Za Kazi Médecins du Monde
NAFASI Za Kazi Médecins du Monde
Médecins du Monde-Tanzania, shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalofanya kazi na kusajiliwa chini ya Sheria ya NGO 2002, yenye Usajili Na. I-NGO/R2/000116, na yenye ofisi iliyosajiliwa katika Eneo la Masaki, Wilaya ya Kinondoni, SLP 105948, Dar es Salaam, Tanzania.
Ni Shirika linatafuta kutoa huduma ya matibabu ya dharura na ya muda mrefu kwa watu walio hatarini zaidi duniani, Pia linatetea kukomesha ukosefu wa usawa wa kiafya.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
