NAFASI Za Kazi Mkulazi Holding Company Limited

Filed in Ajira by on June 2, 2025
     
NAFASI Za Kazi Mkulazi Holding Company Limited

NAFASI Za Kazi Mkulazi Holding Company Limited

NAFASI Za Kazi Mkulazi Holding Company Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni hodhi ya mkulazi inawatangazia watu wenye, nia, ari na sifa stahiki kutuma maombi ya nafasi 189 kazi za msimu wa uzalishaji sukari wa mwaka 2025/2026.

Nafasi hizo ni kama zilivyoorodheshwa kwenye PDF hapa chini.

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Awe mhitimu wa darasa la saba na kuendelea.
  • Awe anajua kusoma na kuandika.
  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe ametimiza umri wa miaka 18 au zaidi.
  • Awe mwadilifu.

BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA MAMBO YAFUATAYO:

  • Taarifa binafsi za muombaji (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika Pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika na namba zao za simu zinazopatikana.
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
  • Nakala au namba ya kitambulisho cha NIDA.
  • Nakala au namba ya mlipa kodi (TIN) namba.
  • Nakala ya vyeti vya kuhitimu masomo.
  • Picha mbili (2) za Passport size ziliyopigwa hivi karibuni ziandikwe jina kwa nyuma.
  • Nakala ya cheti cha Utumishi (Certificate of service) kwa waombaji wa msimu wa uzalishaji sukari uliopita Kiwanda cha Sukari Mkulazi.

Tafadhali kila mwombaji aandike nafasi ya kazi aliyoomba juu ya Bahasha ya maombi ya kazi.

Watakaokidhi vigezo ndio watakaoitwa kwenye usahili.

Barua zimeanza kupokelewa tarehe 29 Mei,2025 kuanzia saa 08:30 asubuhi hadi saa 10:30 jioni kwenye ofisi ya mapokezi Kampuni Hodhi ya Mkulazi.

Anuani ya barua zote zielekezwe kwa :
Afisa Mtendaji Mkuu,
Kampuni Hodhi ya Mkulazi,
Kiwanda cha Sukari Mbigiri,
S.L.P 1079. Morogoro.

Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 05 Juni, 2025 saa 10:30 jioni.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.