NAFASI Za Kazi Moshi District Council

NAFASI Za Kazi Moshi District Council
NAFASI Za Kazi Moshi District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Dereva Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II.
Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.
Mchanganuo wa nafasi hizo ni kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
