NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank Limited

NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank Limited
NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank Limited
Mwanga Hakika Bank (MHB), ambayo jina lake rasmi ni Mwanga Hakika Bank Limited , ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania BOT.
Mwanga Hakika Bank ilianzishwa mwaka 2019 kufuatia kuunganishwa kwa taasisi tatu za fedha za Tanzania, ambazo ni: EFC Tanzania Microfinance Bank (EFC), Mwanga Community Bank (MCB) na Hakika Microfinance Bank (Hakika).
Benki hiyo imetangaza fursa za Ajira 12 Mpya Kwa Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki Kuomba nafasi hizo.
Kuona Vigezo na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Chagua Ajira husika hapa chini;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
