NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries Limited

NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries Limited
NAFASI Za Kazi Serengeti Breweries Limited
Serengeti Breweries Limited (SBL) ni kampuni inayoongoza kwa bia na vinywaji vikali nchini Tanzania.
Kutokana na kumiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza bia kilichopo Dar es Salaam, SBL sasa inaendesha viwanda vitatu vilivyoko Moshi, Mwanza na Dar es Salaam, na kuajiri zaidi ya wafanyakazi 800 moja kwa moja na kwa njia nyingine.
Kampuni hiyo ambayo Makao makuu yake yako Dar Es Salaam, Tanzania ilianzishwa mwaka 1988 kama Associated Breweries Limited na kubadili jina lake kuwa Serengeti Breweries Limited mwaka 2002.
Kampuni hiyo inawaalika Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki Kuomba nafasi za Ajira zilizotangazwa hapa chini!
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Hi! Naitwa EMMANUEL BOSCO napatikana mbeya nilikuwa naomba kazi hapo,na elimu yangu ni advance secondary school.my no:0740656439