NAFASI Za Kazi Sikonge District Council
NAFASI Za Kazi Sikonge District Council
Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo kwenye PDF hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
