NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania Ltd

NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania Ltd
NAFASI Za Kazi Toyota Tanzania Ltd, Ajira Mpya Toyota Tanzania – Karimjee Jivanjee
Toyota Tanzania Ltd imekuwa msambazaji wa kipekee wa Toyota nchini Tanzania tangu 1965, ililetwa nchini Tanzania na familia ya Karimjee kupitia kampuni yao ya International Motor Mart.
Kampuni mama ya Karimjee Jivanjee Ltd, ina mizizi mirefu Afrika Mashariki, tangu mwaka 1825 walipofika kama wafanyabiashara kutoka Cutch, India, na kuweka makazi Zanzibar.
Toyota Tanzania ni kampuni ya tatu kwa kongwe ya Toyota Distributor barani Afrika, na ndiyo inayoongoza katika soko katika sehemu mpya ya magari nchini Tanzania.
Kampuni hiyo inatafuta watu wenye sifa stahiki kujaza nafasi 12 zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Naitwa masoudy mi nimachenics naweza kaz vzr San nilkua naomba kampuni yenu muniajili kwenye kampuni yenu ya toyota
Namba yangu 0757299760
I need a job
Habari ya uzima naomba kazi tafadhali mimi naweza kufanya kazi vizuri na kwa umakini usafi,kupika kutunza mazingira piya kufanya decoration mimi ni specialist kwenye maswala ya garden nipo dar es salam mbez beach. Nipo nyumban tu sina kazi kwa sasa.thank you