NAFASI Za Kazi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Filed in Ajira by on April 3, 2025 28 Comments
     
NAFASI Za Kazi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

NAFASI Za Kazi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

NAFASI Za Kazi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025.

Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar.

KAZI HIZO NI ZIFUATAZO:-

✅Mratibu wa Uchaguzi (Nafasi moja Unguja na Nafasi moja Pemba)

MAJUKUMU:-

  • Kuratibu habari na taarifa mbalimbali za uchaguzi.
  • Kuratibu upatikanaji wa vifaa na nyenzo zinazohitajika katika kufanikisha Uchaguzi.
  • Kuwa kiungo kati ya Tume, watendaji wa shughuli za uchaguzi katika Wilaya/Majimbo na wadau.
  • Kushirikiana na kushauriana na wasimamizi wa uchaguzi waliopo katika eneo lake.

SIFA ZA MRATIBU WA UCHAGUZI:-

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe Mtumishi wa Umma.
  • Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote.
  • Awe muadilifu na mwaminifu.
  • Awe mkazi wa eneo husika (Pemba au Unguja)
  • Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila ya kusimamiwa kwa karibu.
  • Awe na uzoefu katika masuala ya Uchaguzi/Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
  • Awe hajawahi kutiwa hatiani katika shauri la nidhamu au kosa lolote la jinai na kuadhibiwa kwa kifungo kinachozidi miezi sita (6).
  • Hajawahi kuwa kiongozi wa chama cha siasa.

✅Msimamizi wa Uchaguzi (Nafasi moja kwa kila Wilaya)

MAJUKUMU

  • Kuratibu na kusimamia shughuli za uchaguzi katika Wilaya yake.
  • Kusimamia na kufuatilia utendaji kazi wa watendaji wa uchaguzi walio chini yake.
  • Kutunza vifaa vya uchaguzi katika Wilaya husika.
  • Kusimamia matumizi ya fedha za uchaguzi.
  • Kushirikiana na kushauriana na Mratibu wa uchaguzi katika kuleta
    ufanisi kwenye shughuli za uchaguzi.
  • Kutoa taarifa ya mwenendo wa hatua za uchaguzi kwa kuzingatia maelekezo ya Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi.

Sifa za Msimamizi wa Uchaguzi

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani
  • Awe mtumishi wa Umma.
  • Awe muadilifu na mwaminifu.
  • Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila ya usimamizi wa karibu.
  • Awe na uzoefu katika masuala ya uchaguzi/uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
  • Awe hajawahi kutiwa hatiani katika shauri la nidhamu au kosa lolote la jinai na kuadhibiwa kwa kifungo kinachozidi miezi sita (6).
  • Hajawahi kuwa kiongozi wa chama cha siasa.

✅Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Jimbo (Nafasi tatu kwa kila Jimbo)

Majukumu

  • Kuwa kiungo kati i ya Jimbo na Wilaya.
  • Kusimamia shughuli zote za uchaguzi katika Jimbo husika.
  • Kumsaidia msimamizi wa uchaguzi katika masuala yote ya uchaguzi.

Sifa za Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Jimbo

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe ni mtumishi wa umma.
  • Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote.
  • Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila ya usimamizi wa
    karibu.
  • Awe na uzoefu katika masuala ya uchaguzi/uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
  • Awe muadilifu na mwaminifu.
  • Awe hajawahi kutiwa hatiani katika shauri la nidhamu au kosa lolote la jinai na kuadhibiwa kwa kifungo kinachozidi miezi sita (6).
  • Hajawahi kuwa kiongozi wa chama cha siasa.

Ajira Mpya Kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Kila Mwombaji katika nafasi husika aainishe nafasi anayoiomba akitaja Wilaya au Jimbo analotaka kufanyia kazi na aambatishe vyeti vya elimu pamoja na maelezo ya taarifa binafsi (CV).

Maombi hayo yatapokelewa kuanzia tarehe 03 Aprili, 2025 hadi tarehe 23 Aprili, 2025 saa 9:30 Alasiri.

Barua zote zielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Ofisi ya Zanzibar,
Mtaa wa Maisara,
S. L. P. 4670,
Zanzibar.

MUHIMU: Maombi yote yatapokelewa katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa
ya Uchaguzi zilizopo Maisara kwa upande wa Unguja na Chake/ Chake (Mtaa wa Miembeni) kwa upande wa Pemba.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (28)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Hussein Mohamed says:

    Mimi husseni Mohamed husseni Nina umri wa miaka 29 Naomba nafasi ya kuwa msimamizi wa kituo Cha kupiga kura nahaidi kufanya kazi kwa juhudi na bidii kubwa

    • Abrahamu Joseph luhala says:

      Mimi Abrahamu Joseph luhala mwenye umri wa miaka 20. naomba kwa heshima nafasi ya kuteuliwa kuwa msimamizi wa kituo Cha kupigia kura. Naahidi kufanya kazi kwa uadilifu, juhudi na bidii kubwa Ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa ufanisi na haki: naweza kupatikana kwa namba ya simu 0750799638

  2. Shamsia M Sudi says:

    Mimi Shamsia M Sudi nina umri wa miaka 25 naomba nafasi ya kuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kuta naahidi kufanya kazi kwa juhudi na bidii kubwa.

    • Naitwa Niame Joseph Shonde ni kijana mwenye umrii wa miaka 22 natokea mkoa wa songwe
      Naamini ombi langu litapokelewa na natanguliza zangu shukrani
      Wako mjenzi wa taifa

      • Pendo jackson kusaduka says:

        naitwa pendo kusaduka nina umri wa miaka 23 ninaomba nafasi ya kazi katika tume ya uchaguzi kuwa msimamizi wa uchaguzi ni mwaminifu na mchapakazi ninaishi IRINGA Natumain maombi yangu yatakubalika

  3. Naomi Joseph Elikana says:

    Tume ya uchaguzi🤝

  4. Rukundo Meshak says:

    Kwa majina naitwa Rukundo Meshak pius ninaomba nafas ya kazi ya usimamizi kituo Cha kupiga kura Nina umri wa miaka 21 Nina ahidi nitafanya Kazi Kwa kujituma na nidhamu na Kwa uadilifu mkubwa sana nitafurahiii sana endapo ombi langu litakubaliwa
    Wako katika ujenzi wa
    Taifa

    • Eliabu fuwo says:

      Mimi eliabu jacktan fuwosay
      Mei 4,2025 at 11:46pm
      Naitwa eliabu jacktan fuwo ni kijana mwenye umri wa miaka 22 natokea mkoa rukwa wilaya ya sumbawanga Email eliabufuwo@gmail.com contact. 0792690309 naomba nafasi ya usimamizi kituo cha kupigia kura. wako katika ujenzi wa taifa

  5. MAKASY MAROBE KAMBARAGE says:

    Nina umri wa miaka 35 naitwa makasy marobe kambarage naomba kaz ya msimamizi msaidizi wa uchaguz
    Email: makasykambarage@gmail.com
    Contact:0754957310
    Jimbo la musoma vijijini.

  6. Naitwa Niame Joseph Shonde ni kijana mwenye umrii wa miaka 22 natokea mkoa wa songwe
    Email Niamyjoseph60@gmail.com.
    Contact. 0789126228
    Naamini ombi langu litapokelewa na natanguliza zangu shukrani
    Wako mjenzi wa taifa

  7. Abdulazaq says:

    Mimi abdulazaq hashim nilongo ni kijana wa kitanzania . Mwenye umri wa miaka 19 kutoka mkoa wa ruvuma wilay ya mbinga mkoani ruvuma elimu yangu ni kidato Cha nne ni muombaji pia wa kazi katika usaidizi wa kalani natumai ombi langu litakubaliwa

    • BRAITON ERNEST LEONALD says:

      Mimi Ni BRAITON ERNEST LEONALD kutoka KIGOMA ninaomba nafasi ya kuwa karani katika kituo Cha kupiga kura,,natanguliza shukrani zangu kwa tume huru ya uchaguzi

  8. Mimi ALFONSA SAFARI UMBULA mwenye umri
    wa miaka 31 Ninaomba kuwa msimamizi msaidizi ngazi ya Jimbo .Natokea mkoa wa MANYARA naahidi kuwa mwaminifu na Nina Imani ombi langu litafanyiwa kazi. Asante

    • Ibrahim says:

      Mimi Ibrahim mussa said ni mtazania kwenye miaka 20 naomba kwa heshima nafasi ya kuwa msimamiz msaidiz natokea mkoa wa PWANI wilaya ya MKURANGA kata ya VIKINDU na Nina ahidi nitafanya kwa bidii na kujituma na nidhamu na uadilifu ninaamn kuwa maombi yangu litakubaliwa
      Wako katika ujenzi wa
      Taifa
      Contact.0618888641

    • NDAKI SAMWEL KUZENZA says:

      Mimi NDAKI SAMWEL KUZENZA nikijana mwenye umri wa miaka 19 ninaomba kazi ya kuwa msimamizi msaidizi ngazi Jimbo natokea mkoa wa GEITA naahidi kuwa mwaminifu na ninaimani ombi langu litashughulikiwa.MUNGU AWABARIKI

  9. BAKARI HASSANI MBARUKU says:

    Mm BAKARI HASSANI MBARUKU naomba nafasi ya kazi ya kuwa msimamizi wa uchaguzi kata ya komolo wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara call no 0789942375 naahidi kuwa muaminifu

  10. Anna Andrea Ako says:

    Kwa majina naitwa Anna Andrea ako mwenye umri wa miaka 23 kutoka kilimanjaro-Rombo naomba kazi ya kuwa msimamizi msaidizi wa kituo Cha kupiga Kura
    Asanteee

  11. Naitwa Anna Andrea Ako mwenye umri wa miaka 23 kutoka kilimanjaro-Rombo naomba nafasi ya kuwa msimamizi msaidizi wa kituo Cha kupiga Kura
    Asante.

  12. Naitwa Anna Andrea Ako mwenye umri wa miaka 23 kutoka kilimanjaro-Rombo naomba nafasi ya kuwa msimamizi msaidizi wa kituo Cha kupiga Kura mwaka2025.asante.

  13. Mimi NEEMA AYUBU KADAGA mwenye umri wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato cha sita ninaomba kuwa msaidizi wa ngazi ya jimbo.Natokea IRINGA naahidi kuwa mwaminifu nina imani maombi yangu yatakubaliwa.Asante

  14. BRAITON ERNEST LEONALD says:

    Naitwa BRAITON ERNEST LEONALD Nina Mika 21 kutoka KIGOMA nina shauku ya kuomba nafasi ya kuwa karani was uchaguzi mwka 2025 oktoba,, natanguliza shukrani zangu kwa tume huru ya uchaguzi, Asante

  15. Pendo jackson kusaduka says:

    naitwa pendo kusaduka nina umri wa miaka 23 ninaomba nafasi ya kazi katika tume ya uchaguzi kuwa msimamizi wa uchaguzi ni mwaminifu na mchapakazi ninaishi IRINGA Natumain maombi yangu yatakubalika

  16. Rafael Richard Mpongwe says:

    Mimi RAFAEL MPONGWE mwenye umri wa miaka 21 ninaomba kuwa msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya. Natokea mkoa wa MANYARA wilaya ya NGORONGORO

    • Ng'arwa says:

      Naitwa ng’arwa chacha boto ni mtanzania mwenye miaka 24naomba kwa heshima nafasi ya kuwa karani msaidizi natokea mkoa wa Mara wilaya ya Tarime kata ya Sirari mtaa wa nyamorege.natumaini ombi langu litafanyiwa kazi asante
      Chachaboto607@gmail.com
      0692807164

  17. Ibrahim says:

    Mimi Ibrahim mussa said ni mtazania kwenye miaka 20 naomba kwa heshima nafasi ya kuwa msimamiz msaidiz natokea mkoa wa PWANI wilaya ya MKURANGA kata ya VIKINDU na Nina ahidi nitafanya kwa bidii na kujituma na nidhamu na uadilifu ninaamn kuwa maombi yangu litakubaliwa
    Wako katika ujenzi wa
    Taifa
    Contact.0618888641

  18. emanuel renatus says:

    Naitwa Emanueli Renatus MABULA ninaumri wa miaka 28 naomba nafasi ya usimamizi wa uchaguzi 2025 nimwaminifu naishi NZEGA TABORA kata ya NZEGA NDOGO natumaini mambo yangu yatapokelewa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *