NAFASI Za Kazi Umoja wa Mataifa nchini Italy

Filed in Ajira by on May 30, 2025 2 Comments
     
NAFASI Za Kazi Umoja wa Mataifa nchini Italy

NAFASI Za Kazi Umoja wa Mataifa nchini Italy

NAFASI Za Kazi Umoja wa Mataifa nchini Italy, Nafasi Za Kazi Maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania nchini Italy.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Umoja wa Mataifa Kupitia Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa Wametangaza Nafasi ya PUBLIC ORDER ADVISER, P-4 IN SPC OF THE POLICE DIVISION(2025-SPC-75916-DPO) – Jijini Brindisi, Italy Kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi wenye Sifa Za Kuomba Kazi hiyo.

SIFA ZA JUMLA ZA WAOMBAJI NI

  • Shahada ya Uzamiri Katika Masomo ya Sayansi ya Siasa na Sayansi ya Jamii (SOCIAL SCIENCE & POLITICAL SCIENCES)
  • Kwa Wenye Shahada ya Kwanza ya Masomo Tajwa
  • Awe na Uzoefu wa Operesheni za Polisi.
  • Uzoefu wa Miaka Saba (07) Katika Shughuli za Operesheni, Mfano; CROWD MANAGEMENT AND RIOT CONTROL.
  • Uzoefu wa Misheni za Ulinzi wa Amani ni Sifa Muhimu.
  • Awe na Cheo Kuanzia Mrakibu wa Polisi (SP) Kwenda Juu.
  • Awe na Uwezo wa Kuandika na Kuongea Kiingereza Kwa Ufasaha, Ujuzi wa Lugha ya Kifaransa ni Sifa ya Ziada.
  • Aidha, inashauriwa Maafisa Wanawake Kuomba nafasi hii Kwani Watapewa Kipaumbele.
  • Waombaji Wote Wajaze Fomu za Maombi EAC (EMPLOYMENT AND ACADEMIC CERTIFICATION) NA P-11 (PERSONAL HISTORY) zinazopatikana Kwenye Tovuti Ya Polisi www.polisi.go.tz
  • Fomu hizo Zijazwe Kwa Umakini Kulingana NA Maelekezo husika.

Maombi yote Pamoja Nlna Nakala ya Hati ya Kusafiria (Passport) yatumwe Kwenye barua Pepe: unjobs.ir@tpf.go.tz,

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 01/08/2025.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments (2)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Mimi maoni yangu ni kwamba endapo nitapata kazi nitatekeleza shughuli zote na kuzingatia sheria ya mipaka pamoja na mila na desturi za nchi husika na kabila kuvunja sheria za nchi endapo nikienda kinyume adhabu kali iwe juu yangu ikiwezekana na kufukuzwa kazi,asante kwa kuzingatia na kusoma maoni yangu ni mimi Sila Laurent tabwa

  2. Please i need a job because i’m a strong youthful from Tanzania in kigoma religion,,, thank you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *