NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar

Filed in Ajira by on May 27, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar

NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar

NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar, Nafasi Za Kazi Zanajira Zanzibar.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Utumishi wa Umma ni taasisi huru iliyoanzishwa na Serikali kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 chini ya Kifungu cha 117, 2010 na Ibara ya 33 (1) ya Sheria ya Utumishi wa Umma namba 2 ya mwaka 2011.

Tume hiyo kwa ujumla ina jukumu la kusimamia Watumishi wa Umma kwa uadilifu na kufuata misingi ya Utawala Bora na kusimamia masuala mbalimbali ya mchakato wa kuajiri nafasi za serikali Zanzibar, Tanzania.

Zanajira ina jukumu la kutangaza nafasi za kazi, kupokea maombi, na kudhibiti mchakato wa kuajiri kutoka kwa orodha fupi hadi upangaji wa mwisho.

Tume hiyo inatangaza nafasi Mbalimbali Kwa Watu wenye nia ari na sifa stahiki Kuomba Nafasi hizo.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!