NAFASI Za Kazi UTUMISHI
NAFASI Za Kazi UTUMISHI, Ajira Mpya Serikalini
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahususi kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi katika Utumishi wa Umma.
Chombo hiki kilianzishwa kwa Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 0f 2002 iliyorekebishwa na Sheria namba 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1).
Dhamira yake ni kufanya uajiri wa watumishi wa Umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia misingi ya usawa, uwazi na stahili pamoja na kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala ya ajira.jinsi ya kupata laki tatu kesho
Rasilimali watu ni kigezo muhimu katika utoaji wa huduma za umma, hivyo basi, PSRS imepewa jukumu la kuajiri watumishi wa umma kwa haki, uwazi na kwa wakati; huku tukiangalia na kuhakikisha ubora na upatikanaji kwa waombaji wote ili kutoa huduma yenye usawa nchini Tanzania.
Lengo lake ni kuboresha Utumishi wa Umma wa Serikali kuhusu masuala yanayohusu mchakato wa kuajiri Kulingana na sheria na kanuni zetu na wakati huo huo kuimarisha uhusiano mzuri na wadau wetu.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha maombi ya Watanzania wenye nia kujaza nafasi mpya kama ilivyoanishwa hapa chini;
- BOFYA HAPA KUPATA AJIRA ZOTE ZA SERIKALINI
- BOFYA HAPA KULOGIN AJIRA PORTAL
- BOFYA HAPA KUJISAJILI AJIRA PORTAL
- KUONA AJIRA ZINGINE, WALIOITWA KAZINI NA WALIOITWA KWENYE USAILI TAFADHALI BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA KILA SIKU BOFYA HAPA
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Ajira Mpya Serikalini, NAFASI Za Kazi UTUMISHI, NAFASI Za Kazi UTUMISHI Ajira Mpya Serikalini
CHARLES LEONARD NYAMBARYA,
S.L.P ,0613257660
DAR ES SALAAM,PUGU BOMBANI
23/5/2025.
MKUU WA UTUMIMISHI MAKAO MAKUU YA JESHI,
S.L.P 194,
DODOMA.
NDUGU MUHESHIMIWA.
YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA WANAINCHI TANZANIA.
Husika na kichwa cha cha habari.MimiCharles Leonard nyambarya mwenye umri wa miaka 24.nimehitimu kidato cha nne 2018 nakupata ufaulu mzuri.Dhumuni la barua hii nikuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi
jwt nakulitumikia kwa uamnifu mzuri bila kuzivunja sheria za jeshi kwa kuwa mzalendo, kulijenga na kulitunza taifa langu:
Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa,
Charles.L.Nyambarya
Namba ya simu-0613257660
charlesleonard636@gmail.com
Ni matumaini yangu kuwa maombi yangu yatapokelewa
Majukum mema Ahsante..