NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania
NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania
World Bank Group (WBG) ni Benki ambayo inatoa ruzuku, mikopo na uchambuzi wa sera ili kusaidia maendeleo ya kiuchumi nchini Tanzania kwa kuzingatia miundombinu na ukuaji wa sekta binafsi.
Benki hii ambayo ilianzishwa tarehe 27 December 1946 kufuatia uidhinishaji wa kimataifa wa makubaliano ya Bretton Woods, ambayo yalitokana na Mkutano wa Fedha wa Umoja wa Mataifa (1–22 Julai 1944), ina makao yake makuu huko Washington DC nchini Marekani.
Benki hiyo inawaalika Watanzani wenye sifa, ari, nia na vigezo kutuma maombi ya kujaza nafasi za ajira kama zilizoainishwa hapa chini;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
