NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
Kwa zaidi ya miaka 70, World Vision imejitolea kulinda na kutunza watoto na wale wanaohitaji.
Nchini Tanzania, Wold Vision imekua moja ya mashirika makubwa ya kibinadamu na maendeleo nchini.
Miradi na kazi zetu zinaenea hadi mikoa 14 kati ya 33; katika wilaya 41. Maeneo ambayo tunafanyia kazi yamegawanywa katika Programu za Maeneo 48 (APs) ambazo zinasimamiwa na Ofisi 7 za Nguzo.
Lengo letu ni kuchangia katika uboreshaji unaopimika na ustawi endelevu wa wasichana na wavulana milioni 15-hasa walio hatarini zaidi. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyopanga kutimiza hili, tafadhali soma mkakati wetu wa 2016-2020.
Wold Vision inawaalika watu wenye sifa stahiki kujaza nafasi mbalimbali zilizoainishwa hapa chini;
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Looking for job opportunity