NAFASI Za Kujiunga JWTZ 2025

Filed in Ajira by on May 13, 2025 32 Comments
     
NAFASI Za Kujiunga JWTZ 2025

NAFASI Za Kujiunga JWTZ 2025

NAFASI Za Kujiunga JWTZ 2025, nafasi za Kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) 2025, Nafasi za Kuandikishwa Jeshi la Wananchi 2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu.

Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.

Wataalamu hao watakaoandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali muhimu ya Kijeshi na mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.

SIFA ZA MWOMBAJI
Vijana wa Kitanzania wenye nia ya kuandikishwa Jeshi wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

  • Awe raia wa Tanzania mwenye kitambulisho cha Taifa
  • Awe na afya nzuri na akili timamu.
  • Mwenye tabia na nidhamu nzuri, hajapatikana na hatia ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
  • Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate), vyeti vya shule na vyeti vya Taaluma.
  • Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi cha Kuzuia Magendo.
  • Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mkataba wa kujitolea au Mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.
  • Kwa vijana wenye elimu ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita wawe na umri usiozidi miaka 24.
  • Vijana wenye elimu ya Stashahada umri usiozidi miaka 26.
  • Vijana wenye elimu ya Juu umri usiozidi miaka 27 na Madaktari Bingwa wa Binadamu umri usiozidi miaka 35 ya kuzaliwa.

Taaluma Adimu zinazohitajika ni ifuatavyo:-

Taaluma ya Tiba
(1) Medical Doctor (Specialist)
& Generall Surgeon, Orthopaedic Surgeon, Urologist Radiologist, ENT Specialist, Anaesthesiologist, Physician, Ophthalmologist, Paediatrician, Obstetrician Gynaecologist, Ocologist, Pathologist, Psychiatrist, Emergency Medicine Specialist na Haematologist.

(2) Medical Doctor, Dental Doctor, Veterinary Medicine, Bio Medical Engineer, Dental Laboratory Technician, Anaesthetic, Radiographer, Optometry, Physiotherapy na Aviation Doctor.

Taaluma za Uhandisi (Engineer).
Bachelor of Electronic Engineering, Bachelor of Mechanical Engineering, Bachelor in Marine Engineering, Bachelor in Merine transportation and Nautical Science, Bachelor in Mechanics in Merine Diesel Engine, Bachelor in Aviation Management, Bachelor in Aircraft Accident and Incident Investigation, Bachelor in Meteorology, Air Traffic Management na Aeronautic Engineering.

Fundi Mchundo.
Aluminium Welding na Welding and Metal Fabrication.

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KWA MAKUNDI YOTE MAWILI
Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 hadi tarahe 14 Mei, 2025 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:-

  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au nambari ya NIDA.
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
  • Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
  • Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.

MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO
Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania

DONWLOAD PDF YA TANGAZO LA KUJIUNGA JWTZ

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Comments (32)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Nasikia furaha Kwa kupokea taarifa hii natumai ntaweza kupambana na kitimiza ndoto zangu za mda mrefu zakuweza kuwa miongoni mwa walinzi wanchi.nipende kuhitimisha shukrani zangu Kwa viongozi wa juu KAZI IENDELEHE

  2. Naomba kujiunga na jeshi

  3. EDY HASHIM SHABANI,
    S L P 65,
    CHARINZE PWANI .
    30/04/ 2024.
    MKUU WA UTUMISHI
    MAKAO MAKUU YA JESHI
    S L P 194
    DODOMA TANZANIA
    NDUGU , MUHESHIMIWA
    YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI.
    Husika na kichwa cha habari hapojuu mimi ni Edy Hashim shabani mwenye umri wa miaka 19 nimemaliza elimu ya sekondari mwaka 2024 katika shule ya sekondari Dunda center.
    Naomba kijiunga na jeshi la JWTZ pia nakuahidi kifanikiwa kuipata nafasi yakuwa mtumishi wa jeshi nitafanya kazi ya jeshi kwa umakini na ueledi wa haliyajuu zaidi.
    Nitashukuru sana iwapo ombilangu litakubaliwa
    E.H.Shabani
    EDY HASHIM SHABANI

    • TITUS CHARLES says:

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  4. HABIBU SAIDI MISIGALO says:

    naomba Kwa dhati kuweza kujiunga na jeshi la wananchi Tanzania

  5. HENRY ROBERT LUSEGA says:

    Henry lusega

  6. HABIBU SAIDI MISIGALO says:

    Naomba kujiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania

    Kwa heshima na taadhima, mimi ni Habibu Saidi Misigalo, kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha sita mwaka 2024 na pia nimehudhuria mafunzo ya JKT kwa miezi mitatu katika kambi ya Maramba, Tanga. Kwa moyo wa kizalendo na mapenzi kwa nchi yangu, naomba kwa dhati kupatiwa nafasi ya kujiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

    Nina nidhamu, afya njema, na ari ya kutumikia taifa langu kwa uaminifu na kujituma. Naomba nitaarifiwe kuhusu hatua za kuchukua ili kufanikisha ndoto hii ya maisha.

    Naomba kuwasiliana kupitia:
    Simu: 0676910300
    Barua pepe: habibumisigalo@gmail.com

    Nashukuru sana kwa nafasi

  7. EDY HASHIM SHABANI,
    S L P 65,
    CHARINZE PWANI .
    O1/05/ 2025
    MKUU WA UTUMISHI
    MAKAO MAKUU YA JESHI
    S L P 194
    DODOMA TANZANIA
    NDUGU , MUHESHIMIWA
    YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI.
    Husika na kichwa cha habari hapojuu mimi ni Edy Hashim shabani mwenye umri wa miaka 19 nimemaliza elimu ya sekondari mwaka 2024 katika shule ya sekondari Dunda center.
    Naomba kijiunga na jeshi la JWTZ pia nakuahidi kifanikiwa kuipata nafasi yakuwa mtumishi wa jeshi nitafanya kazi ya jeshi kwa umakini na ueledi wa haliyajuu zaidi.
    Nitashukuru sana iwapo ombilangu litakubaliwa
    E.H.Shabani
    EDY HASHIM SHABANI

  8. Aloyce Flavian Kalinga says:

    ALOYCE FLAVIAN KALINGA,
    S.L.P 167,
    KILIMANJARO-MOSHI,
    1/5/2025.
    MKUU WA UTUMIMISHI MAKAO MAKUU YA JESHI,
    S.L.P 194,
    DODOMA.
    NDUGU MUHESHIMIWA.
    YAH:MAOmBI YA KUjIuNgA NA JESHI.
    Husika na kichwa cha cha habari.Mimi ni Aloyce Flaviani Kalinga mwenye umri wa miaka kumi na tisa19 nimehitimu kidato cha nne 2023 nakupata ufaulu mzuri.Dhumuni la barua hii kama nilivyoanza kueeleze nikuomba nafasi ya kujiunga na jeshi nakulitumikia kwa uamnifu mzuri bila kuzivunja sheria za jeshi.
    Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa.Kwa mawsiliano zaidi iwapo nitatokea kuchaguliwa kujiunga na jeshi:0773176213.

    • YASRI ABDUL MAKUNGURU says:

      YASRI ABDUL MAKUNGURU,
      S.L.P 25,
      MIKUMI-MOROGORO,
      9/5/2025.
      MKUU WA UTUMIMISHI MAKAO MAKUU YA JESHI,
      S.L.P 194,
      DODOMA.
      NDUGU MUHESHIMIWA.
      YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA WANAINCHI TANZANIA.
      Husika na kichwa cha cha habari.Mimi ni Yasri Abdul Makunguru Kalinga mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne 2023 nakupata ufaulu mzuri.Dhumuni la barua hii kama nilivyoanza kueeleze nikuomba nafasi ya kujiunga na jeshi nakulitumikia kwa uamnifu mzuri bila kuzivunja sheria za jeshi.
      Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa.Kwa mawsiliano zaidi iwapo nitatokea kuchaguliwa kujiunga na jeshi

      Namba ya simu-0715363195.
      Email-yasriabdul888@gmail.com

  9. BARUA YA MAOMBI YA JESHO LA WANANCHI 2025
    BABATI MANYARA
    SLP 62

  10. Ezekia nsubili kibona says:

    Kwa sis ambao atujamaliza mkataba

    • Victa simion Molla says:

      Victa simion Molla says
      May 2,2025 at11:18
      BARUA YA MAOMBI YA JESHO LA WANANCHI 2025
      BABATI MANYARA
      SLP

  11. Shadrack47 says:

    Ngoja watu tujiunge tupambanie nchi yetu

  12. Victa simion Molla says:

    Victa simion Molla says
    May 2,2025 at11:18
    BARUA YA MAOMBI YA JESHO LA WANANCHI 2025
    BABATI MANYARA
    SLP

  13. Tusekelege says:

    Tusiofanya jkt ila vigezo vyote tunavo inakuaje?!

  14. Kazungu mwamini kazungu says:

    Naomba nafasi ya kujiunga na jwtz

  15. Mkalii says:

    Nafasi zinauzwa hzoo tafuta connection uone

  16. kulwa cosmas mathias says:

    KULWA COSMAS MATHIAS,
    SLP 520
    MTWARA
    07/05/2025.
    MKUU WA UTUMIMISHI MAKAO MAKUU YA JESHI,
    S.L.P 194,
    DODOMA.
    NDUGU MUHESHIMIWA.
    YAH:MAOMBI YA KUjIuNgA NA JESHI.
    Husika na kichwa cha cha habari.Mimi ni Kulwa cosmas mathias mwenye umri wa 31. ni na elimu ngazi ya diploma ya uuguzi Dhumuni la barua hii kama nilivyoanza kueeleze nikuomba nafasi ya kujiunga na jeshi nakulitumikia kwa uamnifu mzuri bila kuzivunja sheria za jeshi.
    Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa.Kwa mawsiliano zaidi iwapo nitatokea kuchaguliwa kujiunga na jeshi:0616419289.

  17. JOSEPH SYLVESTER says:

    Tunatuma maombi. Eneo ngan husika tulioko mwanza

  18. Nafasi ya kujiunga na jeshi

  19. Mackdonald Mwasha says:

    Nahaidi nitalitumikia jeshi kwa moyo wote

  20. Juma Hassan says:

    Ningependa kujiunga na JWTZ

  21. Ghalib says:

    Natamani Sana kupata nafasi hii na kutumika taifa langu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *