NAFASI Za Madereva Kagera Sugar Limited

Filed in Ajira by on April 10, 2025 7 Comments
     
NAFASI Za Madereva Kagera Sugar Limited

NAFASI Za Madereva Kagera Sugar Limited

NAFASI Za Madereva Kagera Sugar Limited

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kampuni ya Sukari ya Kagera inawatangazia Watu wote wenye uwezo na Sifa Kutuma Maombi Kwa Kazi Za Udereva wa Magari Madogo

Mwombaji awe na Sifa Zifuatazo:

  • Awe na Elimu ya Udereva Kutoka Chuo Kinachotambulika.
  • Awe na Vyeti Halisi vya Udereva Vilivyohakikiwa (Certified Certificate)
  • Awe na Leseni Daraja D Iliyothibitishwa
  • Awe na Uzoefu wa Kazi ya Udereva Kuanzia Muda wa Miaka Mitano na Kuendelea.
  • Awe Raia wa Tanzania.
  • Awe Hajawahi Kufukuzwa ama Kuachishwa Kazi Kimakosa.
  • Awe na Kitambulisho Cha NIDA Pamoja na TIN namba vilvyo Hakikiwa (Certified NIDA and TIN Number)

Maombi yote yawasilishwe Katika Ofisi ya Ajira Kagera Sugar au yatumwe Kwa Barua pepe recruitment@kagera-sugar.co.tz

Mwisho wa Kupokea Maombi haya ni tarehe 14/04/2025

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (7)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Ijumaa iddi huseni says:

    I would like to join in your company as a driver

  2. Sisty Massawe says:

    Mkurugenzi wa Rasilimali Watu
    Kagera Sugar Limited
    S.L.P 14146
    Kagera, Tanzania

    YAH: MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA

    Ninayo heshima kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni yako. Nina uzoefu wa udereva wa miaka 7 na ninamiliki leseni daraja C1 C2 C3 E F G ambayo inaniruhusu kuendesha aina mbalimbali za magari.

    Katika kazi zangu za awali, nimefanya kazi Silverleaf academy. KRUPA PATEL ambapo nilikuwa na jukumu la kusafirisha bidhaa na wafanyakazi kwa usalama na kwa wakati. Nina ujuzi mzuri wa kufuata sheria za barabarani, matengenezo ya msingi ya gari, na kuheshimu muda wa kazi.

    Nina nidhamu, uaminifu, na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha huduma bora kwa kampuni. Naomba nafasi ya kufanya kazi na timu ya Kagera Sugar na kuchangia mafanikio yake.

    Nimeambatanisha nakala ya leseni yangu ya udereva pamoja na vyeti husika kwa ajili ya marejeleo. Naomba nafasi ya mahojiano ili kueleza zaidi uwezo wangu.

    Ninatumai maombi yangu yatazingatiwa kwa upendeleo. Nashukuru kwa muda wako na naomba ushauri wenu zaidi.

    Wako mwaminifu,
    Sisty Massawe
    Sistymassawe19@gmail.com
    0756 756187

  3. Nuruel Paul Njau says:

    Mkurugenzi wa Rasilimali watu
    Kagera Sugar Limited
    S.L.P 14146
    Kagera, Tanzaniani

    YAH:MAOMBI YA KAZI UDEREVA
    Husika na kichwa Cha barua tajwa hapo juu.
    Mimi Naitwa Nuruel Paul Njau Ni Kijana wa Kitanzania
    Mwenye umri wa miaka (27) Natumia Fursa hii kuomba
    Kazi ya Udereva Katika Kampuni yako/yenu Kwani Nina
    Uzoefu Mkubwa na wakutosha Katika sekta hii kama
    Ilivyoanishwa Kwenye Leseni yangu.

    Hivyo Natumaini maombi yangu yatapokelewa na nitapata nafasi katika Kampuni yako/yenu.
    Wako katika Ujenzi wa Taifa
    By
    Nurue Paulo njau
    No:0675608013

  4. christopher felician says:

    Christopher FELICIANI SALIBOKO
    April 13,2025at 11:25 pm

    Mkurugemzi wa rasilimali watu
    S.L.P 14146
    Kagera tanzania

    YAH:MAOMBI YA KAZI UDEREVA
    Husika na kichwa Cha barua tajwa hapo juu.
    Mimi naitwa christopher feliciani saliboko ni kijana wa kitanzania
    Mwenye umri wa miaka(35) natumia fursa hii kuomba
    Kazi ya udereva katika kampuni yako/yenu kwani Nina
    Uzoefu mkubwa na wakutosha katika sekta hii kama
    Ilivyoainishwa kwenye lesseni yangu.

    Hivyo Natumaini maombi yangu yatapokelewa na nitapata
    Nafasi katika kampuni yako/yenu.
    Wako katika ujenzi wa Taifa
    By
    Christopher feliciani saliboko
    No:0654717117

  5. Kagera sugar says:

    Christopher feliciani saliboko.
    April 14,2025 1:40am

    Mkurugenzi wa rasilimali watu
    S.L.P14146
    Kagera Tanzania

    Ndugu,
    YAH:MAOMBI YA KAZI YA UDEREVA
    Husika na kichwa cha habari hapo juu.
    Mimi ni christopher feliciani saliboko.kijana mwenye umri wa miaka(35) naomba nafasi ya kujiunga katika kampuni yako/yenu(Kagera sugar) Nina uzoefu katika kazi hii ya udereva nipo makini sana na kujiamini katika kazi yangu kwa kufuata Sheria zote za barabarani.
    Natumaini ombi langu litashughulikiwa
    Kwako katika ujenzi wa Taifa.

    By
    Christopher feliciani saliboko
    0654717117
    .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *