NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

Filed in Elimu by on February 1, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa masomo yatakayoanza mwezi MACHI 2025 katika ngazi za Stashahada ya Uzamili (Postgraduate Diploma) na Shahada ya Umahiri (Mastesrs Degree).

Mfumo wa ufundishaji utakuwa ni usomaji kwa njia ya Mtandaoni (Online Learning System).

Chuo kinapokea maombi ya kujiunga katika ngazi za Stashahada ya Uzamili
(Postgraduate Diploma) Mwaka mmoja, na Shahada ya Umahiri (Mastesrs
Degree) miaka miwili.

Ngazi ya Stashahada ya Uzamili (Postgraduate Diploma) itatolewa katika fani zifuatazo:

  • Business Administration (PGDBA)
  • Project Management (PGDPM)
  • Accountancy (PGDA)
  • Procurement and Supply Chain Management (PGDPS)
  • Marketing Management (PGDMM)

Ngazi ya Shahada ya Umahiri (Master’s Degree) itatolewa katika fani zifuatazo:

  • Business Administration – Human Resource Management (MBA-HRM)
  • Masters of Business Administration – Finance and Banking (MBA-F&B)
  • Masters of Business Administration
  • Marketing Management
    (MBA-MKTM)
  • Masters in International Business Management (MIBM)
  • Masters of Supply Chain Management (MSCM) and
  • Masters Degree in Project Management, Monitoring and
    Evaluation (MPMME)

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

Postgraduate Diploma (Stashahada ya Uzamili) Muombaji awe amemaliza Degree ya kwanza (Bachelor Degree) katika ufaulu wowote Au awe amemaliza
Stashahada ya juu (Advanced Diploma) kutoka Katika chuo kinachotambulika na TCU au NACTVET.

Shahada ya umahiri (Master’s Degree): Muombaji awe amemaliza Degree ya
kwanza na ufaulu wa angalau Lower second-class au Postgraduate Diploma kutoka Katika chuo kinachotambulika na TCU au NACTVET.

Waombaji watume maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Chuo
www.cbe.ac.tz Au fika katika kampasi zetu.

Gharama za maombi ya kujiunga na chuo ni BURE.

Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: admission@cbe.ac.tz
Huduma Kwa Wateja: 0222 211 560

Kwa Dar es salaam Simu Namba: 0777 151 323

Kwa Dodoma Simu Namba: 0734 330 104 au 0692 659 357

Kwa Mwanza Simu Namba: 0659 707 000 au 0767 692 558

Kwa Mbeya Simu Namba: 0674 415 629 au 0769 525 293

Tovuti: www.cbe.ac.tz

Mwisho wa kupokea Maombi kwaajili ya kujiunga na Chuo ni tarehe 10 March 2025.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!