Nafasi za Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Kahama Municipal Council

Filed in Ajira by on February 18, 2025 0 Comments
     
Nafasi za Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Kahama Municipal Council

Nafasi za Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Kahama Municipal Council

Nafasi za Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Kahama Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama anawatangazia Watu wote wenye sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe mkazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
  • Awe Mtumishi mstaafu Serikalini.
  • Awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote.
  • Awe na Umri kuanzia miaka 55 (Hamsini na tano) hadi 65(Sitini na Tano).
  • Awe na Elimu ya Form IV au VI (Advanced Diploma).
  • Awe na taaluma ya kuanzia Stashahada ya juu /Shahada katika fani ya Sayansi ya Jamii, Sheria, Utawala na Rasilimali Watu.

MAJUKUMU YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA.

  • Kuendesha au kuongoza vikao vya usaili wa waombaji wa nafasi za kazi.
  • Kuendesha au kuongoza vikao vya Kuwathibitisha kaziani Watumishi.
  • Kuongoza au kuendesha vikao vya kuwapandisha au kuwabadilisha Watumishi vyeo.

POSHO: Kazi hii haina Mshahara, Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira atakuwa analipwa posho kutokana na Vikao vitakavyokaliwa na Bodi.

MASHARTI YA JUMLA

  • Muombaji aambatanishe wasifu wake kwenye barua yake ya maombi.
  • Muombaji aambatainishe nakala halisi ya vyeti vyake vya Elimu na Taaluma.
  • Kila muombaji ambatanishe maombi yake na Picha mbili (2) za passiport Size.
  • Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Manispaa ya Kahama kuanzia tarehe 07/02/2025 ya tangazo hili hadi tarehe 20/02/2025 Saa 9:30 alasili.

Anuani ya Kutuma ni:
Halmashauri ya Manispaa, S. L. P 472, KAHAMA.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *