NAFASI Za Ufadhili wa Masomo International School Of Tanganyika

Filed in Ajira by on February 3, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo International School Of Tanganyika

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo International School Of Tanganyika

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo International School Of Tanganyika

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) inapokea maombi ya ufadhili wa Programu ya IB Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2027.

Wanafunzi wanaoomba ufadhili wa masomo wanapaswa kuwa kati ya umri wa miaka 16 na 19 ifikapo August 2025 na wawe wamepata ufaulu wa daraja la kwanza wenye alama kati ya 7-9 katika mtihani wa kidato cha nne NECTA.

Ufadhili wa masomo hutolewa kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha tano mwanzoni mwa kozi ya miaka miwili ya stashahada ya IB.

Wanafunzi wote wanaoomba nafasi lazima wawe wamehitimu Kidato cha Nne na kipaumbele kitatolewa kwa Wanafunzi waliohitimu Shule za sekondari za umma, Wanafunzi watakaofanikiwa kupata ufadhili wa masomo wanapaswa kuwa tayari kuishi Dar es Salaam na Wazazi au Walezi wao kwani Shule haitoi usafiri wala malazi kwa Wanafunzi.

Mwenye sifa hizo atembelee tovuti yao ya https://www.istafrica.co.tz/admissions/scholarship-and-financial-support kupata taarifa kamili na fomu ya maombi.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!