NAFASI Za Walimu Bright Future Girls School

Filed in Ajira by on April 18, 2025 1 Comment
     
NAFASI Za Walimu Bright Future Girls School

NAFASI Za Walimu Bright Future Girls School

NAFASI Za Walimu Bright Future Girls School

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bright Future ya bweni iliyopo katika Kijiji cha Mbondole, kata ya Msongola, iko umbali wa kilomita 20 kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi cha Mbagala Rangi Tatu.

Shule hiyo inatafuta Watu wenye nia ari na sifa stahiki kujaza nafasi 5 Za Walimu kama zilizoanishwa hapa chini.

Nafasi 5 zilizo wazi Katika Shule ya Bright Future School ni kama ifuatavyo;

  1. English Language
  2. History
  3. Bookkeeping and commerce
  4. Basic Mathematics
  5. Geography

Tuma Maombi yako Kwa WhatsApp 0719223509

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 10 Mei 2025.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *