NAFASI Za Wapishi wa Mikate, Keki na Chakula Tripple P

Filed in Ajira by on February 2, 2025 0 Comments
     
NAFASI Za Wapishi wa Mikate, Keki na Chakula Tripple P

NAFASI Za Wapishi wa Mikate, Keki na Chakula Tripple P

NAFASI Za Wapishi wa Mikate, Keki na Chakula Tripple P

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Bekari ya Tripple P iliyoko hapa Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi za upishi wa Mikate, Keki na Chakula Watanzani wenye nia, ari na sifa stahiki.

Waombaji wawe na Sifa zifuatazo:
Awe na Cheti cha Certicate au Diploma ya Hotel Management kutoka Chuo kinachotambulika cha Hotel operations and management.

Au awe na uzoefu wa Upishi wa Mikate, Keki na Chakula usiopungua miaka miwili.

Pia vijana waliomaliza kidato cha nne na cha sita wanaotaka kufanya kazi ya upishi huku wakijifunza upishi wa vitu hivyo wanakaribishwa kuomba.

Maombi yapelekwe Kwa: Mkurugenzi
Tripple P Betheli Investment
S.L. P 12346 Dar Es Salaam
tripplepinvestment@gmail.com

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 15 February 2025.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!