NAFASI Za Wauguzi Wizara ya Afya Saudi Arabia

NAFASI Za Wauguzi Wizara ya Afya Saudi Arabia
NAFASI Za Wauguzi Wizara ya Afya Saudi Arabia
Je, wewe ni Muuguzi (Nurse) mwenye shahada na uzoefu wa kazi na unapenda kufanya kazi na Wizara ya Afya Saudi Arabia?
Fursa hii ni kwaajili yako!
Mahitaji:
- Shahada ya uuguzi
- Umri usiozidi miaka 43
- Uzoefu angalau wa miaka 2
- Uwe mwanamke
Tuma nyaraka hizi:
- CV
- Cheti cha shahada
- Transcript
- Barua ya uzoefu kazini
- Nakala ya pasipoti
- Nakala ya NIDA
Tuma barua pepe kwenda:
dalba.consulting.group@gmail.com
CC: hrglobal@mkapafoundation.or.tz
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 May 2025.
MUHIMU: Uombaji wa nafasi hizi hauhitaji malipo yoyote.
Usikose nafasi hii ya kubadilisha maisha yako kwa kazi ya kimataifa!
Kwa maelezo zaidi piga: 0744430010 au 0765070010
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Nataman kwenda kufanya ila sina passport