NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

Filed in Habari by on May 21, 2025 0 Comments
     
NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

NEW Victoria Hapa Kazi tu Kuanza Safari zake 22 May 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Meli ya New Victoria hapa kazi tu inayofanya safari zake kutoka Mwanza hadi Bukoba inatarajia kuanza safari tena Alhamisi ya tarehe 22 May 2025 baada ya matengenezo kukamilika.

Meli hiyo iliyositisha kutoa huduma za usafiri kuanzia mwezi Machi mwaka huu kwaajili ya kupisha matengenezo ambayo inaelekezwa Meli kusitisha kutoa huduma kila baada ya miaka miwili na Nusu.

Nahodha wa meli hiyo, Captein Adam Kumbuni amesema kuwa wametumia miezi miwili kufanya matengenezo ya meli hiyo na kwa sasa spidi imeongezeka na meli imekuwa mpya zaidi.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Kampuni ya Meli (TASHICO) Anselm Namala amesema kuwa kuna mabadiliko mengi ndani ya meli hiyo abiria watasafiri huku wakipata huduma wanazostahili.

RATIBA ya MV Victoria Hapa Kazi tu Mwanza to Bukoba

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *