Orodha ya Programu Za Stashahada HESBL 2024/2025

Filed in Elimu by on February 16, 2025 0 Comments
     
Orodha ya Programu Za Stashahada HESBL 2024/2025

Orodha ya Programu Za Stashahada HESBL 2024/2025

Orodha ya Programu Za Stashahada HESBL 2024/2025,Kozi Zenye Kipaumbele kupata Mkopo Diploma 2024/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu HESLB imetoa Orodha ya Kozi zenye Kipaumbele kupata Mkopo wa Diploma 2024/2025 kuelekea kufunguliwa kwa dirisha la Maombi ya Mikopo mwezi Machi (March Intake).

Aidha dirisha la maombi ya mikopo ya stashahada litafunguliwa kuanzia tarehe 15/01/2025 hadi tarehe 15/02/2025.

Wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo katika maeneo matano ya kipaumbele na wanafunzi wengine wenye udahili (admission) kwenye programu hizi na sio wanufaika wanashauriwa kuomba mikopo kwa kuzingatia programu/ Kozi zilizomo katika orodha iliyoambatanishwa hapa chini;

ORODHA YA PROGRAMU ZA STASHAHADA 2024/2025

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *