Posho na Mishahara ya Walimu wa Kujitolea

Mishahara ya Walimu wa Kujitolea
Posho na Mishahara ya Walimu wa Kujitolea
Serikali Kupitia Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu imetangaza kuwa walimu watapewa nafasi ya kufanya kazi za kujitolea Mashuleni kwa Makubaliano Maalumu na Malipo Maalumu.
Kujitolea katika Sekta ya Umma ni hatua ya ukuaji wa taaluma.Jinsi ya kupata laki Leo.
Je ni Kwa nini Ujitolee katika Taasisi za Serikali?: Tanzania inaendelea kukabiliwa na uhaba wa wafanyakazi katika sekta muhimu.
Ili kuziba pengo hilo, Serikali inatoa Majukumu yaliyopangwa ya kujitolea—hasa katika Elimu na Afya.
Majukumu haya hutoa: Uzoefu wa vitendo, Msaada wa Kimsingi wa Kifedha na kuwa na Kipaumbele katika ajira hapo baadae.
Serikali imesema kuwa mwongozo wa Walimu wa Kujitolea/mkataba utaanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 01 Julai 2025 na Walimu hao watalipwa kama ifuatavyo.
Walimu wa kujitolea Shule za Msingi watalipwa kiasi cha kuanzia Tsh 250,000, huku Walimu wa Kujitolea kwa Shule za Sekondari watalipwa kiasi cha kuanzia Tsh 300,000.
Aidha Malipo hayo yote yatatokana na bajeti ya mapato ya ndani ya Halmashauri husika.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Naomben nafas ya kujitolea kweny shule yoyote
Nimehitimu coz ya ualimu certificate mwaka huu 2025
Ila walimu wa kujitolea waangaliwe sana wananyanyasika mno