RATIBA ya AFCON 2025 Morocco

RATIBA ya AFCON 2025 Morocco
RATIBA ya AFCON 2025 Morocco
Ratiba ya Group A AFCON 2025
Date | Match | Venue |
---|---|---|
21 December 2025, 20:00 | Morocco vs. Comoros | Prince Moulay Abdellah Stadium, Rabat |
22 December 2025, 15:30 | Mali vs. Zambia | Mohammed V Stadium, Casablanca |
26 December 2025, 13:00 | Morocco vs. Mali | Prince Moulay Abdellah Stadium, Rabat |
26 December 2025, 15:30 | Zambia vs. Comoros | Mohammed V Stadium, Casablanca |
29 December 2025, 18:30 | Zambia vs. Morocco | Prince Moulay Abdellah Stadium, Rabat |
29 December 2025, 18:30 | Comoros vs. Mali | Mohammed V Stadium, Casablanca |
Ratiba ya Group B AFCON 2025
Date | Match | Venue |
---|---|---|
22 December 2025, 18:00 | Egypt vs. Zimbabwe | Adrar Stadium, Agadir |
22 December 2025, 20:30 | South Africa vs. Angola | Marrakesh Stadium, Marrakesh |
26 December 2025, 18:00 | Egypt vs. South Africa | Adrar Stadium, Agadir |
26 December 2025, 20:30 | Angola vs. Zimbabwe | Marrakesh Stadium, Marrakesh |
29 December 2025, 20:30 | Angola vs. Egypt | Adrar Stadium, Agadir |
29 December 2025, 20:30 | Zimbabwe vs. South Africa | Marrakesh Stadium, Marrakesh |
Ratiba ya Group C AFCON 2025
Date | Match | Venue |
---|---|---|
23 December 2025, 13:00 | Nigeria vs. Tanzania | Fez Stadium, Fez |
23 December 2025, 15:30 | Tunisia vs. Uganda | Prince Moulay Abdellah Olympic Annex Stadium, Rabat |
27 December 2025, 13:00 | Nigeria vs. Tunisia | Fez Stadium, Fez |
27 December 2025, 15:30 | Uganda vs. Tanzania | Al Barid Stadium, Rabat |
30 December 2025, 18:00 | Uganda vs. Nigeria | Fez Stadium, Fez |
30 December 2025, 18:00 | Tanzania vs. Tunisia | Prince Moulay Abdellah Olympic Annex Stadium, Rabat |
Ratiba ya Group D AFCON 2025
Date | Match | Venue |
---|---|---|
23 December 2025, 18:00 | Senegal vs. Botswana | Ibn Batouta Stadium, Tangier |
23 December 2025, 20:30 | DR Congo vs. Benin | Al Barid Stadium, Rabat |
27 December 2025, 18:00 | Senegal vs. DR Congo | Ibn Batouta Stadium, Tangier |
27 December 2025, 20:30 | Benin vs. Botswana | Prince Moulay Abdellah Olympic Annex Stadium, Rabat |
30 December 2025, 20:30 | Benin vs. Senegal | Ibn Batouta Stadium, Tangier |
30 December 2025, 20:30 | Botswana vs. DR Congo | Al Barid Stadium, Raba |
MAKUNDI ya AFCON 2025 Morocco
Ratiba ya Group E AFCON 2025
Date | Match | Venue |
---|---|---|
24 December 2025, 13:00 | Algeria vs. Sudan | Moulay Hassan Stadium, Rabat |
24 December 2025, 15:30 | Burkina Faso vs. Equatorial Guinea | Mohammed V Stadium, Casablanca |
28 December 2025, 13:00 | Algeria vs. Burkina Faso | Moulay Hassan Stadium, Rabat |
28 December 2025, 15:30 | Equatorial Guinea vs. Sudan | Mohammed V Stadium, Casablanca |
31 December 2025, 18:00 | Equatorial Guinea vs. Algeria | Moulay Hassan Stadium, Rabat |
31 December 2025, 18:00 | Sudan vs. Burkina Faso | Mohammed V Stadium, Casablanca |
Ratiba ya Group F AFCON 2025
24 December 2025
- 18:00: Ivory Coast vs Mozambique
Venue: Marrakesh Stadium, Marrakesh - 20:30: Cameroon vs Gabon
Venue: Adrar Stadium, Agadir
28 December 2025
- 18:00: Ivory Coast vs Cameroon
Venue: Marrakesh Stadium, Marrakesh - 20:30: Gabon vs Mozambique
Venue: Adrar Stadium, Agadir
31 December 2025
- 20:30: Gabon vs Ivory Coast
Venue: Marrakesh Stadium, Marrakesh - 20:30: Mozambique vs Cameroon
Venue: Adrar Stadium, Agadir
Magroup yote sita AFCON 2025
- GROUP A: Morocco, Mali, Zambia, Comoros
- GROUP B: Egypt, South Africa, Angola, Zimbabwe
- GROUP C: Nigeria, Tunisia, Uganda, Tanzania
- GROUP D: Senegal, DR Congo, Benin, Botswana
- GROUP E: Algeria, Burkina Faso, Equatorial Guinea, Sudan
- GROUP F: Cote d’Ivoire, Cameroon, Gabon, Mozambique
Ratiba hii inajumuisha Makundi yote sita (6) katika Michuano hii, huku mechi zikipangwa kuchezwa kati ya tarehe 21 December 2025 hadi 31 December 2025.
Timu za juu kutoka kila Kundi zitafuzu hatua ya mtoano.
Muundo wa hatua ya mtoano unaonyesha ni jinsi gani timu zilizoshika nafasi ya tatu zitakavyoshindania nafasi ya kutinga hatua ya 16 Bora kulingana na matokeo ya makundi yao.
Timu zitakazoshika nafasi ya tatu kwenye Makundi lakini kufanya vizuri zitaendelea kuwa na nafasi ya kusonga mbele, kulingana na matokeo ya Makundi mengine.
Ratiba ya hatua ya 16 Bora AFCON 2025
Hatua ya 16 bora inajumuisha washindi wa Makundi na watakaoshika nafasi ya pili kila Kundi, na timu bora nne zilizoshika nafasi ya tatu.
Mechi zinazohusisha timu zilizoshika nafasi ya tatu zinategemea timu zipi nne zitakazoingia kwenye hatua hiyo.
Mechi:
- Mechi 1 (R1): Mshindi wa Kundi D vs Timu ya 3 Kundi B/E/F
- Mechi 2 (R2): Mshindi wa Pili wa Kundi A vs Mshindi wa Pili wa Kundi C
- Mechi 3 (R3): Mshindi wa Kundi A vs Timu ya 3 Kundi C/D/E
- Mechi 4 (R4): Mshindi wa Pili wa Kundi B vs Mshindi wa Pili wa Kundi F
- Mechi 5 (R5): Mshindi wa Kundi B vs Timu ya 3 Kundi A/C/D
- Mechi 6 (R6): Mshindi wa Kundi C vs Timu ya 3 Kundi A/B/F
- Mechi 7 (R7): Mshindi wa Kundi E vs Mshindi wa Pili wa Kundi D
- Mechi 8 (R8): Mshindi wa Kundi F vs Mshindi wa Pili wa Kundi E
Ratiba ya Robo Fainali AFCON 2025
- Mechi QF1: Mshindi wa R2 vs Mshindi wa R1
- Mechi QF2: Mshindi wa R4 vs Mshindi wa R3
- Mechi QF3: Mshindi wa R7 vs Mshindi wa R6
- Mechi QF4: Mshindi wa R5 vs Mshindi wa R8
Ratiba ya Nusu Fainali AFCON 2025
- Mechi SF1: Mshindi wa QF1 vs Mshindi wa QF4
- Mechi SF2: Mshindi wa QF3 vs Mshindi wa QF2
Ratiba ya kutafuta Mshindi wa tatu AFCON 2025
- Mshindwa SF1 vs Mshindwa SF2
- Tarehe: 17 Januari 2026
- Uwanja: Uwanja wa Mohammed V, Casablanca
Ratiba ya Fainali AFCON 2025
- Mshindi SF1 vs Mshindi SF2
- Tarehe: 18 January 2026
- Uwanja: Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
