RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Filed in Michezo by on April 20, 2025 0 Comments
     
RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mechi za hatua ya Nusu Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 zinatarajiwa kupigwa katika mikoa ya Manyara na Tanga.

Mchezo wa Yanga SC dhidi ya JKT Tanzania utapigwa katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Singida Black Stars utapigwa Tanzanite Kwaraa mkoani Manyara.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Nusu Fainali ya Kwanza Kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania itachezwa tarehe 18 May 2025.

Nusu Fainali ya Pili Kati ya Simba SC dhidi ya Singida Black Stars FC itachezwa tarehe 31 May 2025.

RATIBA ya Nusu Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

18 May 2025 CRDB Bank Federation Cup
16:00 Yanga SC vs JKT Tanzania FC

31 May 2025 CRDB Bank Federation Cup
16:00 Simba SC vs Singida Black Stars

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *