ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki

ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki
ROBERT Francis Prevost Papa Mpya wa Kanisa Katoliki, Pope Leo XIV ndiye Papa Mpya wa Kanisa Katoliki.
Robert Francis Prevost raia wa Marekani mwenye Umri wa Miaka 69 ametangazwa kuwa Papa Mpya wa 267 wa Kanisa Katoliki, leo Mei 8, 2025 akichukua nafasi hiyo baada ya kifo cha Papa Francis (88) aliyefariki Aprili 21, 2025.
Mara baada ya Papa kutambulishwa imeeleza atakuwa anatambulika kwa jina la Pope Leo XIV
Idadi ya Wapigakura ilikuwa ni Makardinali 133 walio chini ya umri wa Miaka 80 na Mshindi alihitajika kupata angalau Kura 89, sawa na theluthi mbili ya kura zote.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
