Sample ya Barua ya Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji

Sample ya Barua ya Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji
Sample ya Barua ya Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, ametangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo zilizoainishwa kwenye Tangazo la Ajira.
Moja ya Nyaraka ambazo Mwombaji anatapaswa kuambatanisha (Kuupload) kwenye mfumo wa Ajira ni barua ambayo unaiandika Kwa Mkono.
Kuelekea hatua hiyo ya Kutuma Maombi, tumekuandalia Sample ya Barua ya Maombi ya Ajira hizo kwenye PDF hapa chini;
DOWNLOAD SAMPLE YA BARUA YA KUOMBA AJIRA JESHI LA UHAMIAJI
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
