Sample ya Barua ya Kuomba Kazi Makampuni ya Ulinzi

Filed in Makala by on February 17, 2025 0 Comments
     
Sample ya Barua ya Kuomba Kazi Makampuni ya Ulinzi

Sample ya Barua ya Kuomba Kazi Makampuni ya Ulinzi

Sample ya Barua ya Kuomba Kazi Makampuni ya Ulinzi

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii tumekuandalia muundo wa barua ya kuomba kazi kwenye kampuni za ulinzi.

Huu hapa ni Mfano wa Barua ya Kuombea Kazi kwenye Makampuni hayo.

Jina Lako
Anwani yako
Mtaa, Jiji, Namba ya Simu
Tarehe

Jina la Mpokeaji
Cheo
Jina la Kampuni ya Ulinzi
Anwani ya Kampuni

Mheshimiwa (Jina la Mpokeaji.)
Naitwa (Jina Lako) na ninaandika kuomba nafasi ya (Cheo) katika (Jina la Kampuni ya Ulinzi), kama ilivyotangazwa kwenye (chanzo).

Nina (Kiwango cha Elimu) katika (Kozi) kutoka (Chuo), na uzoefu wa miaka (idadi) katika sekta ya ulinzi.

Katika nafasi yangu ya awali, nilikuwa na jukumu la (eleza majukumu ya awali) na nikiwa na uwezo wa (eleza ujuzi au mafanikio muhimu).

Ninaamini kuwa ujuzi wangu wa (mfano wa ujuzi, kama usalama, kuongoza timu, au mawasiliano) utachangia katika kuongeza ufanisi wa timu yako.

Nilijifunza jinsi ya (eleza mbinu au uzoefu maalum) na nikiwa na ari ya kutekeleza majukumu ya ulinzi kwa ufanisi.

Ningependa kujua zaidi kuhusu nafasi hii na jinsi ninavyoweza kuchangia katika mafanikio ya kampuni yako.

Tafadhali nijulishe ikiwa unahitaji taarifa zaidi au kuhitaji mazungumzo na Mimi.

Asante kwa muda wako na natazamia kusikia kutoka kwako hivi karibuni.

Kwa heshima,
Jina Lako
Namba ya Simu
Barua Pepe

Hakikisha kuwa barua yako ina maelezo sahihi na umeirudia kuisoma kabla ya kuituma/kuipeleka kwenye Kampuni husika.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *