Sample ya Barua ya Kuomba Kazi TRA, Tanzania Revenue Authority (TRA)

Sample ya Barua ya Kuomba Kazi TRA, Tanzania Revenue Authority (TRA)
Sample ya Barua ya Kuomba Kazi TRA, Tanzania Revenue Authority (TRA)
Hapa chini tumekuandalia mfano wa barua ya kuomba kazi Mamlaka ya mapato ya Tanzania (TRA)
Mfano wa barua hiyo ni kama inavyoonekana hapa chini!
Aidha huu ni mifano wa barua rasmi ya kuomba kazi TRA, hakikisha umejaza taarifa zako za kibinafsi, na kama kuna mabadiliko katika nafasi au maelezo, unayapanga kulingana na ilivyo.
Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi TRA Tanzania
Jina Lako
Anuani yako
Mji, Mkoa
Simu: (namba yako ya simu)
Barua pepe: (email)
Tarehe: (tarehe)
Mkurugenzi Mkuu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
S.L.P 11490,
Dar es Salaam, Tanzania
YAH: Barua ya Kuomba Kazi.
Ndugu Mkurugenzi Mkuu,
Natumai kuwa mko salama. Mimi ni (Jina Lako), nilimaliza masomo yangu ya (cheti, digrii, nk) katika (chuo kilichosoma) mwaka wa (mwaka).
Nimevutiwa na nafasi ya kazi iliyo wazi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na ningependa kuwasilisha maombi yangu ili niweze kuwa sehemu ya timu yako.
Kwa uzoefu wangu katika (eneo la kazi), pamoja na ujuzi wangu katika (maeneo ya ujuzi), ninaamini kuwa nitaweza kuchangia katika mafanikio ya TRA na kutoa huduma bora kwa wananchi na Serikali pia.
Nimeambatanisha nakala za vyeti vyangu, wasifu (CV) na barua ya mapendekezo ili kutimiza masharti ya maombi haya.
Ningefurahi sana kama nitapewa nafasi ya kufanya mahojiano ili niweze kuelezea kwa kina jinsi ambavyo nitaweza kutoa mchango wangu katika taasisi hii.
Asante kwa muda wako na natarajia majibu kutoka kwako.
Wako mtiifu
Jina Lako
Sahihi yako
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: Sample ya Barua ya Kuomba Kazi TRA, Tanzania Revenue Authority (TRA)