Sample ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZ

Sample ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZ
Sample ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZ
Barua ya Kuomba Kazi Jeshini, Barua ya Kuomba Kujiunga na JWTZ, Mfano wa Barua ya Kujiunga na Jeshi la JWTZ, Mfano wa Barua ya Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ hutangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye Elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.
Kupitia Makala hii tumekuandalia Mfano/ Sample ya Barua ya Kutuma Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Aidha, uandikishaji unahusisha vijana waliopo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ‘Operesheni Jenerali Venance Mabeyo’ na waliomaliza mkataba ambao wamefanya mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria na kwa Mkataba wa kujitolea.
DOWNLOAD MFANO WA BARUA YA KUTUMA MAOMBI JWTZ
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Nimeipenda hii….