Selemani Mwalimu auzwa Wydad Casablanca

Selemani Mwalimu auzwa Wydad Casablanca
Selemani Mwalimu auzwa Wydad Casablanca
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kufikia makubaliano na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco ya kuwauzia Mshambuliaji wa Selemani Mwalimu kwa mkataba wa moja kwa moja kwa dau ambalo hawajaweka wazi (undisclosed fee).
Taarifa iliyotoleaa na Klabu hiyo January 31, 2024 imebainisha kuwa sehemu ya makubaliano hayo ni klabu hiyo kunufaika na asilimia 10% ya mauzo ya baadae (sell-on) endapo Wydad AC itamuuza kwenda klabu nyingine.
VIDEO ZA WAKUBWA TU MIAKA 18+

Selemani Mwalimu auzwa Wydad Casablanca
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
