SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne Mwaka 2024, huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.
Matokeo hayo yametangazwa January 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam, huku Shule 10 Bora bora Kitaita 2024 zikitajwa.
Orodha ya Shule 10 Bora Mtihani wa Kidato Cha Nne 2024 ni kama ifuatavyo;
- St. Francis Girls’ Secondary school = Wanafunzi 91 Daraja I, GPA 1,0259.
- Canossa Secondary School = Wanafunzi 89 Daraja 1, GPA 1,0693.
- Tengeru Boys’ Secondary school = Wanafunzi 129 Daraja I, GPA 1,0899.
- Kibaha Secondary School = Wanafunzi 102 Daraja I, GPA 1,1478.
- Precious Blood Secondary school = Wanafunzi 82 Daraja I, GPA 1,1524.
- Ahava Secondary School = Wanafunzi 82 Daraja I, GPA 1,1732.
- Feza Boys’ Secondary School – Wanafunzi 62 Daraja I, GPA 1,1738.
- Kemebos Secondary School = Wanafunzi 70 Daraja I, GPA 1,1754.
- Ahmes Secondary School = Wanafunzi 49 Daraja I, GPA 1,1887.
- Bethel SABS Girls’ Secondary school = Wanafunzi 86 Daraja I, GPA 1,1918.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
