Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

Filed in Makala by on March 2, 2025 0 Comments
     
Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii utaweza kufahamu Jinsi ya Kujaza Fomu ya NIDA, Sifa na Vigezo vya kujiandikisha kupata namba ya NID.

Kujaza Fomu ya NIDA tafadhali fuata maelekezo yalivyoorodheshwa hapa chini.

Jinsi ya Kujaza Fomu ya Usajili Kupata NIDA

  • Jaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A kwa kalamu ya wino mweusi na kwa herufi kubwa.
  • Saini fomu yako kwenye kipengele Na. 59 ama umeweka alama ya dole gumba iwapo hauna saini rasmi ama hujui kusoma na kuandika.
  • Gonga muhuri fomu yako ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa kwenye Serikali ya Mtaa unakoishi kipengele Na. 60 na kuandikiwa barua ya Utambulisho wa Makazi.

Ambatisha;

  • Cheti cha Kuzaliwa
  • Barua ya Utambulisho wa Makazi
  • Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa au Kitambulisho cha Taifa cha mzazi mmoja.

Ambatisha viambatisho vya ziada ulivyonavyo kati ya vifuatavyo:

  • Vyeti vya Masomo – Msingi, Sekondari au Chuo
  • Leseni ya Udereva
  • Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
  • Kadi ya Bima ya Afya
  • Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi.

Wasilisha fomu yako ya maombi kwenye Ofisi ya Usajili ya NIDA wilaya unakoishi kwaajili ya kuchukuliwa alama za kibaiolojia, Mavazi ya kuzingatia wakati wa Usajili: unashauriwa kutovaa nguo;

  • Nyeupe
  • Kijivu
  • Bluu mpauko
  • Pinki au nguo za kung’aa
  • Jezi
  • Nguo zenye nembo, michoro au maandishi
  • Kofia aina yoyote na kutopaka hina viganjani ili alama za vidole zisomeke kirahisi.
Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

Sifa na Mahitaji ya Kujisajili kupata namba ya NIDA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *