Siku 7 Zaongezwa Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Filed in Ajira by on February 28, 2025 0 Comments
     
Siku 7 Zaongezwa Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Siku 7 Zaongezwa Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Siku 7 Zaongezwa Ajira Za Zimamoto na Uokoaji, Tangazo la Kuongeza Muda Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tarehe 13 February, 2025 lilitoa tangazo la nafasi za ajira ambapo mwisho wa kuwasilisha maombi hayo ilikuwa 28 February, 2025.

Jeshi linautangazia umma kuwa zimeongezwa siku saba (7) hivyo, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya nafasi ya ajira ni tarehe 07 March, 2025 badala ya 28 February, 2025.

Aidha, vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waendelee kutuma maombi.

Maombi yote yatumwe kupitia link: ajira.zimamoto.go.tz.

Maelezo mengine ni kama yalivyosomeka katika tangazo la tarehe 13 February, 2025.

Tangazo la Kuongeza Muda Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Tangazo la Kuongeza Muda Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *